SAYANSIKIMU
JF-Expert Member
- Feb 27, 2014
- 1,132
- 260
Heshima zenu wakuu.Niko hapa kusema yakwamba nafuta kauli yangu yakusema Kwa herini wana MMU hamtaniona tena.
Nafuta kauli hii.
Baada ya kuondoka huku nikaelekea SIASANI na kwenye HABARI NA HOJA MCHANGANYIKO huko nimeishia kufarakana na watu.
Mimi nawasamehe wote walionikwaza na ninawaomba msamaha wote tuliokwazana kwa namna moja au nyingine.
Siasa imenishinda ndoto zangu za kugombea ubunge ndo zimekufa hivyo maana siku ya kwanza kuingia siasani nikaishia kurushiwa maneno ya kejeli.Jamani nitaanza kuonekana humu kwa hiyo sihitaji maswali nikianza kutumia jukwaa hili .
Kwa kweli jinsi nilivyosemwa huko sina hamu kwani ukileta utani kidogo tu unaishia kurushiwa maneno makali kweli.Narudi huku naombeni mnipokee kwa moyo mweupe.
Bora nitulie huku maana nimejua ya kwamba huku ndiko naweza kukaa kwa amani.Haya nawatakia mchana mwema.