Wakuu habari ya leo na poleni na majukum ya kila siku, mimi mwenzenu yamenikuta makubwa kama ifuatavo:
Mwezi wa kumi mwaka jana nilikua kigali kwa matembezi na nilifikia hotel iitwayo Serena hotel , baada ya siku tatu pale nikaenda night club moja nikiwa natoka kurudi kupumzika nikakutana na mtoto alieumbika mwenyewe nilisimama nikampa lift tukaelekea hotel, ndugu zangu huyu binti kiukweli toka siku ile simwelewi kabisa alianiachia handbag yake akanieleza niitunze sana ktk maisha yangu na nilijaribu kukataa ikashindikana na ajabu kubwa ni pale ninapokuta fedha ambazo sikuziweka kwenye mkoba huo na alinielza atafka TZ kutembea hajaja simu yake aliyonipa haipo hewani na siku ile chumbani baada ya kugegedana aliondoka saa kumi na moja asubuhi sielewi hapa naomba ushauri wanajamvi