ankol
JF-Expert Member
- Aug 21, 2012
- 2,724
- 5,291
Habari za jumapili wadau.
Naombeni msaada wenu jinsi ya kuongeza uwingi wa sperm, Yaani siku hizi natumika sanaa kiasi cha kwamba ujazo wa bao umepungua mno nahisi hata gal wangu ashaanza nishtukia yaani uwingi na uzito umepungua mno. So kuna njia yeyote ile ya kuweza kuongeza hii kitu, mana raha ya mechi bao hasa ukifungia ndani ya kumi na nane.