Natafuta mume

Natafuta mume

lilly706

New Member
Joined
Mar 8, 2014
Posts
2
Reaction score
2
Habari wana Jf,mimi ni msichana wa miaka 26,Nimeajiriwa nipo Arusha.Natafuta mume kuanzia miaka 29-32,awe na kazi au biashara ya kueleweka ,awe mrefu,awe mkristo.Aliye tayari nipigie kwa no 0784175530
 
Ww unakaz gan? Na unafaa kuwa mke? Au unafaa kuwa kipozeo tu
 
mimi nipo Dar na nimeajiriwa itakuwaje??
 
kama uko tayari kuwa mke mwema ni pm.
 
Muislam hafai?hata mzee anaruhusia?mbona hujatoa maelezo hayajamilika.

All the best
 
Kabla sijatumia vocha yangu!

1umetembea KM ngapi?

2hospitali ulienda lini mara ya mwisho

3bikra yako ulitolewa lini?

4ulishawahi kupigwa 0713?

Jibu maswali yangu machache sifa ilizozisema ninazo naenda hewani sasa hv!
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom