Natafuta mchumba

Natafuta mchumba

gidy boy

Member
Joined
Mar 12, 2014
Posts
39
Reaction score
5
mimi ni kijana wa kiume nina umri wa miaka 25 natafuta mchumba wa kuoa.
SIFA
1.awe mkristo.
2.awe na umri usiozidi miaka 23.
3.awe tayali kupima vvu.
4.awe tayali kuvumilia kwa muda wa mwaka mmoja ndio tuowane.
5.urefu usipungue 1.5metre.
6.awe mcheshi.
 
Namba NNE funguka, kuvumiliana nini?

Unamaana uwe unagegeda mwaka mzima bure bure kisha ndoa ndio itafuata?
 
Namba NNE funguka, kuvumiliana nini?

Unamaana uwe unagegeda mwaka mzima bure bure kisha ndoa ndio itafuata?

ha ha ha ha mwaka atakuwa anakagua tuuuu
vijana wana mambo hawa
 
Haya kama hujafunguka vizuri vile kwa wahusika.... endelea kusubiri watakuja tu... ila hapo kuvumilia mgegedo mwaka mzima mmmh..
 
Mshahara sh/= ngapi?? hahahahahaahhahahahhah

Wasubirie bwana watakuja.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom