Nyani Ngabu
Platinum Member
- May 15, 2006
- 98,524
- 146,048
Now this is comical if not downright silly.
Hivi, yawezekanaje eti mtu ukawa na uhusiano wa kimapenzi na mtu ambaye hata humjui, naye hakujui?
Kama inawezekana, huo uhusiano tuuiteje? Phantom relationship?
Au, inawezekanaje watu wawili, mmoja kati yao akadhani kuna uhusiano ilhali mwingine wala hana hata habari za jambo kama hilo, huku wote wawili wakiwa hata hawajuani?