Heshima na zenu wakuu sio siri ninahamu kubwa kuingia JUKWAA LA WAKUBWA lakini nashindwa.Kwani kuna mambo yamenisibu ambayo sio vizuri kueleza humu.Hivi mpaka uingie jukwaa la wakubwa itakubidi...
Natafuta Dada wa kichaga au wa kihaya humu kama upo nafasi ni chache sana,
Sifa za mwombaji
-awe ni Dada.
-mchaga au mhaya.
*mawasilianao na majadiliano ni humuhumu tu hakuna cha mawasiliano nje...
Nahitaji marafiki wa kike ambao ni single wenye muono wa kimaisha,no matter mwanfunzi wa chuo,biashara au mfanya kazi ila wawe watumiajia wa whatsapp...pm me.
Mapenzi matamu sana hasa ukiwa unaiba.
Newton third law of motion (To every action there is an equal and opposite reaction) ina exist hadi kwenye love..... ukiiba wapenzi na wake za watu...
Namaste!
Disclaimer! Im only responsible for what I have written and not what you understand from it.
Si jambo la kushtusha wala kushangaza kukuta nyumba ndogo imefanyiwa mambo makubwa, ya...
Baada ya tendo la ndoa mwanaume upendelea kulala. Kwa mwanamke ni tofauti, yeye baada ya tendo la ndoa anapendelea mpenzi wake aendelee kumkukumbatia kwa dakika kazaa. Wanapenda kusikia neno...
Habari ya muda huu wana JM ninayo furaha kubwa kuwa nanyi ktk kubadilishana mawazo na kusaidiana pale tunapopata muda katika pitapita yangu nimekutana na hiki kitu hebu kiiangalie na ujiulize...
Ni imani ya kikale isiyo na ithibati kisayansi kuwa
usiku wa kwenda vitani usilale na mwanamke
Siku ya kwenda kuwinda kurina au kuvua usilale na mwanamke
Kwamba kuna wanawake mlango wa 8...
Mzee wa upako a.k.a transformer jana channel ten nanukuu>>>
-Kama wewe ni mwanaume hutakiwi kumuoa mwanamke mrefu kuliko wewe, maana wewe ni kichwa sasa kichwa kitakaaje chini? teh kichwa hukaa...
Habari wana mmu.
Ni siku nyingine tuliyo jaliwa kuiona tukiwa wenye afya njema... na kwa wale ambao hawajisikii vema natumai kwa nguvu za Mungu watakua poa
Baada ya salam zangu za dhati kwenu...
Nimeikuta fb hii si vibaya nikashare na nyie wanajamvi...
MARRIED MEN, PLEASE I NEED YOUR ATTENTION HERE, SPARE ME SOME MINUTES.........KNOW "TWELVE THINGS YOUR WIFE IS TO YOU".
1. Lover: Your...
Mwanzoni mwa mahusiano watu huitana "baby", "honey" nyingi lakini hupungua kadiri muda unavyosogea. Je ni nini husababisha hili? Je wewe bado unaitwa baby? Na umedumu muda gani kuitwa baby/honey?
Siku MOJA nimekaa na DADA fulani sehemu fulani tunatalii kidogo, japo eneo lenyewe halina hata hewa safi ya kuvutia ni harufu za dagaa n' shombo... ufukwe wa kiswazi... nilipigilia pamba za...
Mimi ni kijana wa miaka 35, Nimejiajiri, na nayamudu maisha yangu.
Kipato changu ni cha wastani na nashukuru maisha yangu si mabaya.
Natafuta mwanamke mwenye umri huo, mwenye moyo mpweke...
Mi ni kijana mtanashati umri wangu ni miaka 26 natafuta mchumba wa kuoa umri mwisho miaka 25 kushuka chini sifa kuu heshima,upendo,huruma na uvumilivu pamoja na umbo namba 8 mwenye sifa hzo...
Jamani wanaJF najua humu jamvini kuna washauri wazuri sn kwa kuwa kuna watu wenye taaluma na uzoefu mbalimbali.
Nakuja kwenu na hili.
Kuna rafiki yangu ana mke mwenye kuonyesha heshima na...
Habari yenu wana JF
Asubuhi ya Leo nashawishika kuandika juu ya tafiti chache zilizofanyika Tanzania mwishoni mwa mwaka jana na majibu kutoka mwanzoni mwa mwaka huu 2014.
Tafiti ililenga hasa...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.