Mahusiano, mapenzi, urafiki

Tubadilishane mawazo kuhusu familia, mahusiano, mapenzi, urafiki, n.k na kushauriana

On JF:

Naomba ufafanuzi juu ya hili,hivi nyie wanawake wa jf mnataka mapenzi au pesa,nashangaa hamueleweki.
0 Reactions
46 Replies
7K Views
Wana JF; kuna jamaa yangu mmoja aliamua kumtoa out rafiki yake wa muda mrefu kwenda kupata moja moto moja baridi baada ya rafiki yakwe kumweleza kuwa amefulia!! Walipofika baa walianza kugida...
0 Reactions
35 Replies
4K Views
-uchumi -sheria -udaktari amini nakwambia,mwanamke yeyote aliyesoma kozi yoyote kati ya hzo hapo juu,huwa hadanganyiki kwa chochote.
5 Reactions
77 Replies
9K Views
Why do guys (ones with girlfriends) have porn and pictures of naked women on their phones? Please help Ingrid understand what’s the deal with porn and pictures of naked women?
0 Reactions
5 Replies
1K Views
Love I love you not because of who you are, but because of who I am when I am with you. No man or woman is worth your tears, and the one who is, won't make you cry. Just...
0 Reactions
8 Replies
3K Views
Tukishindwa jibu I resort to the internet for answers. Scenario: Mzazi (bibi) anatoka mbali kuja kusalimia binti na familia yake (mume + mtoto). Mume anaweka mkwara akae hotel. Ni sawa? Kama...
0 Reactions
21 Replies
2K Views
its posibo mtu kukupenda mtandaoni??,
0 Reactions
28 Replies
3K Views
Nilipokuwa mdogo nilikuwa najua mama yangu anaweza kila kitu, sikuwahi kuona napungukiwa, ma wala sikujua kuwa zile raha na maisha mazuri aliyokuwa akinipatia alivipata kwa taabu na dhiki nyingi...
10 Reactions
27 Replies
4K Views
Nina dada yangu mtoto wa baba mdogo aliyekuja mjini kureseat Necta ya form 4, alimaliza mwaka jana na kufeli sasa kabeba mimba. Tulizani kuwa ni malaria baba akanipa fedha nimpeleke akapime baada...
0 Reactions
59 Replies
7K Views
Salam Kwenu Wadau, Mwenzenu siku ya leo imekuwa tofauti kuchunguliachungulia....si nikatoka na kitu!! nikaona nami ngoja nikamsuprise baby heheheheh...hata alivyojichoropoa mwilini mwangu sijui...
4 Reactions
78 Replies
8K Views
ukiona upo katika mahusiano yanakufanya ulie kila siku jiulize huyo ulienae ni Mpenzi au Bomu la machozi? Fikiria acha kulia, fanya maamuzi magumu!
4 Reactions
38 Replies
3K Views
Unamuomba outing msichana mnafika sehemu husika, of course itakua ni sehemu mashuhuri na ina watu wengi. Anakuja muhudumu wewe unaagiza kesto light yako baridi. Zamu ya binti kuagiza anaagiza...
0 Reactions
32 Replies
3K Views
Tulopotosheka tukiwa tumelala kitandani kila mmoja wetu a kitafakari tukio lililoisha tulikaa kimya dakika kama kumi huku tumekumbatiana bila mtu yoyote kuongea kitu Ghafla nikasikia mkono umepita...
0 Reactions
3 Replies
2K Views
Mtoto mmoja mwenye umri wa miaka 16 alimuuliza mama yake: "Mama, utanifanyia nini nikifikisha umri wa miaka 18 (siku yangu ya kuzaliwa)? Mama akajibu:- "mwanangu bado una una safari ndefu...
1 Reactions
9 Replies
2K Views
Huwanajiuliza sana kwa nini mwanamme akichapiwa mke/mpenzi wake huwa anaumia sana tofauti na mwanaume akitembea na mwanamke mwingine mwanamke huwa anachukulia poa tu? hapa inamaanisha mwanamke...
0 Reactions
4 Replies
2K Views
Weupe, weusi, wachina, wazungu wembamba kwa wanene. Ulaya, Afrika, Marekani na Asia. Bara na Visiwani ningeenda kula raha. Haya ni mawazo ya kila mwanaume ambaye hajabahatika kuzikamata hela za...
2 Reactions
30 Replies
2K Views
Wana MMU nawasalimu. Kuna watu wana tabia hii ambayo ni hatari sana kwa ndoa za marafiki wao. Tabia hii inachochewa na kusababishwa na: 1. Kufananisha watu 2. Kujifanya wewe ni mwanahabari...
1 Reactions
11 Replies
2K Views
Nishemeji yake, toka nitoke na mkewe, lakini jamaa alipata ujasiri wa kumtongoza nakutoka nae kinyumba. Tena chakusikitisha ni mtoto wa miaka 14 tu. Ilipokuja kugundulika kua mtoto anaujauzito...
0 Reactions
24 Replies
3K Views
:: Hayo ni maneno aliyoambiwa rafiki yangu kwa ujumbe mfupi wa sms.Ni maneno ambayo yanatoka kwa mke wa mtu.Rafiki yangu huyu nilipomdadisi kwa undani alikiri kuwa na uhusiano wa kimapenzi na mke...
0 Reactions
66 Replies
7K Views
First impression is the most important especially when meeting a new person. Gentlemen. Let's talk about first impressions. Specifically the kind you make on ladies when they first meet you. Most...
0 Reactions
19 Replies
2K Views
Back
Top Bottom