Heshima kwenu wakuu.
Tangu jana niliposoma uzi wa kuhusu yule meneja wa EWURA aliyekutwa amefariki hotelini nimekuwa nikisumbuliwa na maswali mengi sana ya mahusiano. Kwenye lile gazeti wanasema...
Namasteeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeee!!!! Mai tumse pyaar karta hoo! (Kama nimetukana mnisamehe lugha za watu hizi zilikuja na majahazi!)
Mjue nimekuwa so harsh and insensitive dhidi ya broke...
Tarehe 2 mwezi ujao itakuwa ni siku yangu ya kuzaliwa! dada zangu na mama zangu nawaombeni sana muniwish happy birthday kwa niaba ya Mama yangu maana siku hiyo mama yangu uwa hawasiliani nami...
Katika hekaheka zangu hapa kampala nimejikuta nimenasa kwa mganda mmoja,kama kawaida yangu nipendavyo watoto weusi,tumekubaliana baada ya kuoana tuje tuishi Tz,sasa wakuu mimi nina mashaka...
1. Kijana wangu, kama unafanya matumizi kwa msichana ambaye hakuulizi kama umeweka akiba au umefungua mradi, na anaendelea kufurahia matumizi, usimuoe.
2. Kijana wangu, Mwanamke anaweza kuwa mke...
Imefikia sasa hata wasichana nikifanya nao mara moja hawarudi.
Imefikia sasa sipati tunda jaman wanadai ni ndefu mno.ni nchi tisa tu.
Nifanyeje wakuu niepukane na adha hii?
Inashangaza sana wadau, najua wengi watakuwa wameshakutana na vimeo vya aina hii. Demu unakutana naye some where, barabarani, vyuoni, au sehemu yoyote... may be kwenye bus unatoka zako Dar kwenda...
Wana wa mmu.Vijana wawili wa miaka 18 na 20 wamepigana nusu kufa kisa eti kijana mwenzake kamtukana eti "NDIO MAANA MAMA YAKO KAPIGWA MIMBA.Vijana tujifunze kuowa mapema na kuzaa mapema watoto...
Michepuko sio dili.
Katika siku nilizowahi kutia aibu kwenye suala la michepuko basi ni leo.
Huyu binti nmezoeana nae sana, kila siku nlikuwa nikiomba mzigo. Tatizo lake alikuwa ananiahidi tu...
Wana MMU habari,
Leo mwana MMU mwenzetu gorgeousmimi anasheherekea siku yake ya kuzaliwa ningependa kutumia jukwaa hili kumtakia kila la kheri katika siku yake hii ambapo amesogeza umri wake...
A 15-year-old girl who was bullied by classmates for years has killed herself after naming her tormenters in a suicide note and telling them: 'Thanks for all the pain.'
Cora Delille's body was...
Habari wana-MMU!
Hivi karibuni nimempata mpenzi wangu mpya baada wa yule wa mwanzo kuamua kuchukua hamsini zake,.
Katika hatua za mwanzo za kufahamiana na huyu mpenzi mpya nilimuelezea...
Watu wengi sana wamekuwa wakidhani kwamba ukiwa na wivu katika mahusiano basi ni ishara ama ni alama mojawapo ya pekee kumuonesha umpendae kuwa una mapenzi ya dhati sana kwake. Sawa ni kweli...
Siku moja asubuhi mke wa MTZ-huru alimwambia mmewe kuwa alihitaji fedha anunue chanuo mpya ya kuchania nywele zake ambazo ni ndefu sana na alipenda zikue zaidi.
Fuledi alimwambia mkewe kuwa...
Ni kawaida sana kwa mwanamke kutosema awapo na hisia za kumpenda mwanaume! Si kosa lake, ni malezi hapana, ni mazoea hapana, ni utamaduni hapana, ni dini, hapana, ni hulka si hakika, ni silika...
1: Usioe kwa sababu umechoka kula kwa mama lishe>>Mke sio mpishi kama umechoka kula kwa
mama lishe jifunze kupika.
2: Usioe kwa sababu umechoka kufua na kupika >>Mke sio housemaid, kama umechoka...
1: Usioe kwa sababu umechoka
kula kwa mama lishe>>Mke sio
mpishi kama umechoka kula kwa
mama lishe jifunze kupika.
2: Usioe kwa sababu umechoka
kufua na kupika >>Mke sio
housemaid, kama...
Ni matumaini yangu kuwa nyote mnaendelea kupumua.Kuna dhana imejengeka sana miongoni mwa jamii zetu nyingi.
Dhana yenyewe ni kuwa mwanamke ni kiumbe dhaifu sana katika nyanja mbalimbali za...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.