Mama nakupenda

Mama nakupenda

Lovebird

JF-Expert Member
Joined
Sep 27, 2012
Posts
6,878
Reaction score
10,515
Mtoto mmoja mwenye umri wa miaka 16 alimuuliza mama yake: "Mama, utanifanyia nini nikifikisha umri wa miaka 18 (siku yangu ya kuzaliwa)?

Mama akajibu:- "mwanangu bado una una safari ndefu kufika".

Mtoto yule alipofikisha umri wa miaka 17, siku moja ghafla akaanguka chini.

Mama yake akambeba na kumuwahisha hospitali, na Daktari akasema: "Mama mwanao ana Moyo mkubwa pia limeonekana tundu katika moyo wake."

Mama akiwa na mwanae pale hospitali huku mama akiwa na mawazo nini cha kufanya, mtoto akamuuliza mama yake " Mama Madaktari wamekwambia mimi ninaenda kufa?? Mama akaanza kulia..

Baada ya muda wa mwaka nzima kijana huyu akiwa amefikisha mika 18, alirudishwa nyumbani kutokana na hali yake kuwa nzuri. baada ya kufika nyumbali alikuta barua ipo kwenye kitanda, iliyokuwa imeandikwa na mama yake.

Barua iliandikwa hivi: Mwanangu unasoma haya kwa sababu kila kitu kimeenda sawa mpaka sasa. Kumbuka siku uliyoniambia siku ukifikisha miaka 18 nitakupa nini na hukufahamu kwanini sikukupa jibu. "Nimekupa moyo wangu Take care of it and happy Birthday Son". Alimaliza kwa maneno hayo ya kingereza.

Mama huyu alikufa kwasababu ya mwanae apone, maana alitakiwa kutoa moyo wake awekewe mwanae.

Kama unaamini Hakuna kama "MAMA" hapa duniani
Andika Nakupenda "MAMA" na kama unamjali mama yako Unaweza SHARE, Iwafikie watu wengi zaidi.
 
Invisible, hii thread iende mmu please maana ndo mahali pake.
 
Last edited by a moderator:

Huyo mama anastahili afunguliwe mashtaka ya kujiua...tena kwa kukusudia!
 
Aya NAKUPENDA MAMA WA KUNIZAA!! maana kuna mabazazi eti yeye tumekutana tu ukubwani yanataka yaitwe mama(wanataka kulibaka neno MAMA)
 
Since we all came from a woman, got our names from a woman, and our game from a woman. I wonder why we take from women, why we rape our women, do we hate our women? I think its time we killed for our women, be real to our women, try to heal our women, cos if we dont, we'll have a race of babies that will hate the ladies, who make the babies. And since a man can't make one he has no right to tell a woman when and where to create one
Tupac Shakur
 
Nakupenda mama yangu. Hakuna kama wewe hata nikiwa na kina mama wadogo 29 na kina mama wakubwa 30 hawatabeba neno mama neno hili litabakia na herufi 4 tu bila nyongea wala pungufu. Asante mama yangu .
 
Nakupenda sana mamaangu mangare
 
Nimempigia simu kumwambia, maana kuandika hapa ujumbe haumfikii.
 
Back
Top Bottom