Vipi weekend unakutana na msichana wa hivi?

benteke

JF-Expert Member
Apr 3, 2014
1,294
2,000
Unamuomba outing msichana mnafika sehemu husika, of course itakua ni sehemu mashuhuri na ina watu wengi. Anakuja muhudumu wewe unaagiza kesto light yako baridi.

Zamu ya binti kuagiza anaagiza, dada naomba mzinga mkubwa wa konyagi. Muhudumu anamuuliza utachanganya na soda gani? binti anajibu ntachanganyia na safari ya baridi.

Muhudumu analeta vinywaji na glass anaweka mezani. Binti anamuambia mhudumu, samahani dada naomba niletee kiroba original nisuuzie glass maana nikiweka hivi itaaribu fleva ya konyagi.

Weekend njema.
 
PetCash

JF-Expert Member
Mar 20, 2012
1,996
2,000
Hilo ni tunda la watu wanaokuzunguka kwa hiyo unaendelea kuenjoy castle light yako na weekend inasonga.
By the way ur habits are the average habits of the people u hang out with, ni ngumu kidogo kukutana na kitakachokushangaza sana
 
charger

JF-Expert Member
Nov 21, 2010
2,322
1,225
Hilo ni tunda la watu wanaokuzunguka kwa hiyo unaendelea kuenjoy castle light yako na weekend inasonga.
By the way ur habits are the average habits of the people u hang out with, ni ngumu kidogo kukutana na kitakachokushangaza sana

Ama kwa hakika kenge hawezi kuzaa nzi
 
benteke

JF-Expert Member
Apr 3, 2014
1,294
2,000
Hilo ni tunda la watu wanaokuzunguka kwa hiyo unaendelea kuenjoy castle light yako na weekend inasonga.
By the way ur habits are the average habits of the people u hang out with, ni ngumu kidogo kukutana na kitakachokushangaza sana

Kizungu kiingiii....ala wala hujaelewa kitu. watu wengine bwana. kwani lazima uchangie?
 
Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom