Mkwe Kuja Kusalimia -- Etiquette

HoneyBee

JF-Expert Member
Oct 23, 2012
867
1,000
Tukishindwa jibu I resort to the internet for answers.

Scenario:
Mzazi (bibi) anatoka mbali kuja kusalimia binti na familia yake (mume + mtoto). Mume anaweka mkwara akae hotel. Ni sawa?

Kama compromise nilishauri kama mume anataka hotel basi alipie yeye, at least yule mama asione kama ametengwa au hayuko welcome. Wadada wengine wameshauri akomae aweke mkwara asikubali mama yake apelkwe guest/hotel for 3 weeks wakati chumba kipo, ingawa ni cha ku -share na mtoto.

What is the etiquette here?

mawazo yenu!

Happy Friday.
 
everlenk

JF-Expert Member
Oct 5, 2012
11,604
2,000
Japo hujaeleweka vzur,labda niulize kabla sijasema yangu Mama anakuja kwa issue gan?
 
msemakweli2

JF-Expert Member
Jul 28, 2013
1,637
2,000
kuna ulazima gani wa kulazimisha kuja kusalimia wasiokuhitaji??siku hizi kuna mawasiliano na maisha yenyewe hayaeleweki!kama ameshaona hayo basi hakuna haja ya kung'ang'ania kuja mjini abaki tu kijijini....
 
HoneyBee

JF-Expert Member
Oct 23, 2012
867
1,000
No issue, just visiting the grandchild. Bara tofauti, neither in Africa.
theboss, husband si mbongo...
 
Last edited by a moderator:

HoneyBee

JF-Expert Member
Oct 23, 2012
867
1,000
Hapo sawa

Na hapo ndipo nilikuwa conflicted. kwa utamaduni wetu hiyo ni big NO. Lakini sababu husband ni wa huko things are different. Sasa, je huyo mkwe alipie hotel pia? or is that a compromise the husband would need to do sababu ya cultural differences.
 
DuppyConqueror

JF-Expert Member
Mar 30, 2014
9,439
2,000
Wadada wengine wameshauri akomae aweke mkwara asikubali mama yake apelkwe guest/hotel for 3 weeks wakati chumba kipo, ingawa ni cha ku -share na mtoto.

What is the etiquette here?

mawazo yenu!

Happy Friday.

1. Huyo mjukuu ana miaka mingapi? Na ni jinsia gani?

2. Hao wadada unauhusiano nao vipi? Kama ni blood sisters kwanini wasikae naye kwao?
 
Mentor

JF-Expert Member
Oct 14, 2008
20,351
2,000
Heri umwambie mama yako asije tu utaenda kumsalimia ukiwa na mjukuu wake. (am concluding mama ni mbongo mwenzetu)
 
Nyani Ngabu

Platinum Member
May 15, 2006
86,885
2,000
Kuna mambo ya privacy hapo hususan kama living quarters ni ndogo.

Kwa hiyo sioni ubaya hasa ukizingatia kwamba mume kwa upande wa utamaduni wake (kwa mujibu wako siyo mbongo na si Mwafrika) in-laws kufikia hotelini kama wamekuja kuwatembelea si mambo ya ajabu.

Jaribu kwa kadri ya uwezo wako (kama ni wewe) kumwelimisha mama kuwa asi-take offense na kama ni mwelewa basi ataelewa tu.

Mimi kwa mama yangu ilibidi nimweleweshe vizuri kuhusu binti yangu na pet peeve yake ya kutopenda chakula chake kishikwe kwa mikono na watu wengine (jambo ambalo hata mimi niko hivyo hivyo ila kwa sababu nina exposure zaidi ya mwanangu huwa najua zaidi jinsi ya kukabiliana nalo).

Kwa upande wangu bibi mtu alielewa na hakuchukia. Uzuri na yeye ana exposure kubwa tu ya tamaduni na watu wa aina mbalimbali hapa duniani.
 
nemulo

JF-Expert Member
May 5, 2014
1,594
0
Tukishindwa jibu I resort to the internet for answers.

Scenario:
Mzazi (bibi) anatoka mbali kuja kusalimia binti na familia yake (mume + mtoto). Mume anaweka mkwara akae hotel. Ni sawa?

Kama compromise nilishauri kama mume anataka hotel basi alipie yeye, at least yule mama asione kama ametengwa au hayuko welcome. Wadada wengine wameshauri akomae aweke mkwara asikubali mama yake apelkwe guest/hotel for 3 weeks wakati chumba kipo, ingawa ni cha ku -share na mtoto.

What is the etiquette here?

mawazo yenu!

Happy Friday.

Siwezi kumlaza mama wa mke wangu hotelini halafu niwe comfortable wakati kuna chumba analala mtoto peke yake!!!
 
HoneyBee

JF-Expert Member
Oct 23, 2012
867
1,000
Thanks for your honesty.
Mama ana exposure, so it might not be a problem. Ni kweli there is a thin line to tread sababu you don't want to force your partner to do something they are uncomfortable with, na you don't want to offend your parents/in-laws. The best suggestion/ middle group ni kupeleka hotelini but cover expenses since grandma/mom is paying for her own flight.

Kuna mambo ya privacy hapo hususan kama living quarters ni ndogo.

Kwa hiyo sioni ubaya hasa ukizingatia kwamba mume kwa upande wa utamaduni wake (kwa mujibu wako siyo mbongo na si Mwafrika) in-laws kufikia hotelini kama wamekuja kuwatembelea si mambo ya ajabu.

Jaribu kwa kadri ya uwezo wako (kama ni wewe) kumwelimisha mama kuwa asi-take offense na kama ni mwelewa basi ataelewa tu.

Mimi kwa mama yangu ilibidi nimweleweshe vizuri kuhusu binti yangu na pet peeve yake ya kutopenda chakula chake kishikwe kwa mikono na watu wengine (jambo ambalo hata mimi niko hivyo hivyo ila kwa sababu nina exposure zaidi ya mwanangu huwa najua zaidi jinsi ya kukabiliana nalo).

Kwa upande wangu bibi mtu alielewa na hakuchukia. Uzuri na yeye ana exposure kubwa tu ya tamaduni na watu wa aina mbalimbali hapa duniani.
 
BAK

JF-Expert Member
Feb 11, 2007
102,786
2,000
Chezeya kuoa/kuolewa na mzungu weye!!!! Mbongo mwingine kaolewa na Mwafrika mwenzie ila shurti apike vyakula viwili vya kibongo mume havipendi na vya kwao na mume mke havipendi, sasa ndoa iko kwenye hati hati.
 
Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom