Mnataka pesa au mnataka mapenzi,mbona hamweleweki?

Mnataka pesa au mnataka mapenzi,mbona hamweleweki?

Triple A

JF-Expert Member
Joined
Sep 4, 2011
Posts
766
Reaction score
148
Naomba ufafanuzi juu ya hili,hivi nyie wanawake wa jf mnataka mapenzi au pesa,nashangaa hamueleweki.
 
basi amueni moja kama ni pesa usiulize mbona hukufika kileleni
 
Wenyewe watakwambia, mambo yao supa, lkn pia huku mtaani hatuwaoni sijui hawa wanawake wa jf wanakaa wapi? Maana kila mwanamke humu mambo yake si haba.
 
Hapa ni stori kula nyumbani kwenu...pata elimu,jifunze ila kusema utapata watu humu itakuwa ngumu....
 
we need both direct and indirect way

mapenzi direct mgegedo ukutane na papuchi

pesa lipia service like salon,vinywaji,usafiri,kununua nguo.
 
Mie nko kando hapa nasubiri niwaone wanavotoa majawabu,teh teh teh teh.....
 
cash rules thin..!mkuu ila mapenz na pesa ni mapacha wasiofanana..!be carefuly
 
Last edited by a moderator:
Naomba ufafanuzi juu ya hili,hivi nyie wanawake wa jf mnataka mapenzi au pesa,nashangaa hamueleweki.

nyie wanaume wa jf mnataka mapenzi au mnataka kuchunwa. maana hamueleweki. utasikia ''nina nyumba mbili, akaunti tatu za benk n.k wakati hamna alokuuliza
 
nyie wanaume wa jf mnataka mapenzi au mnataka kuchunwa. maana hamueleweki. utasikia ''nina nyumba mbili, akaunti tatu za benk n.k wakati hamna alokuuliza

Uhuhuhuhu here we goooo..
 
Back
Top Bottom