Mahusiano, mapenzi, urafiki

Tubadilishane mawazo kuhusu familia, mahusiano, mapenzi, urafiki, n.k na kushauriana

On JF:

  • Closed
habarini wanammu,eti ni kwa nini wanaume wanene huwa wanadharauliwa sana na wanawake?
1 Reactions
43 Replies
6K Views
Kuna kisa kimeibuka nchini Uingereza ambapo mwanamume mmoja kwa jina David Mason, mwenye umri wa miaka 30, alimshitaki mkewe Brenda kwa kumnyima haki yake ya kingono au kukataa kushiriki tendo la...
0 Reactions
11 Replies
2K Views
usiku wa leo nimetembea na mdada (nesi). Kodom ikapasuka nikajikuta natumia pekupeku. Baada ya kumaliza ikatokea sitofahamu maana hatukuaminiana. Ikabidi atafute vipimo vya kutest...
0 Reactions
61 Replies
6K Views
Nikwa nn watu wengi huingia katika ndoa na muda mfupi wanaamua kuvunja ndoa? Je nn kifanyike ili kuepusha wajane mitaani ? pls mchango wako unahitajika ili kuokoa watu wanaotaka kuingia ktk ndoa
0 Reactions
43 Replies
5K Views
Dada umefunga safari unaenda kuonana na jamaa yako, jamaa mshawasha umempanda anasema anaomba mgegedane halafu wewe unasema hujajiandaa? hahahah, ujiandae nini kwa mfano? Kunyoa? au haukujisafisha...
0 Reactions
27 Replies
3K Views
Je, ni hii https://www.facebook.com/permalink.php?story_fbid=654278004583092&id=629721130372113 au hii: Mwanafunzi UDSM ajirekodi akidai Masomo yamemshinda anataka mtu yeyote mwenye fedha...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Sijui huyu mhudumu kaipaka nini? Si kawaida yangu jumapili chelewa rudi home, ila hii glass naona kama yavuta marafiki,kila ajae ana double.... Sijui.
1 Reactions
5 Replies
2K Views
Msaada wa mawazo kwa wadau. Mimi nina mschana my gfriend, sikuwahi kushare nae tendo la ndoa sababu alikuwa bado masomoni o'level shule fulan jiji Dar. kwa sasa amehitmu form 4 but kuna siku...
0 Reactions
51 Replies
7K Views
Inauma mno niko Manzese huku sandton bar, ni pazuri na pana lodge nzuri tu pia, kuna mchuchu nilikutana naye jana jioni akaomba tukutane hapa leo, nimeitikia wito lakini kinachokera na kuudhi mno...
3 Reactions
109 Replies
11K Views
Namasteeeeeeeeee!!! (Nawakumbuka wana jf wastaafu, Ciello, Nicole, Lady doctor, Kaunga, yesoya! Kamati kuu ya kigodoro natambua uwepp wenu! Hii mada nimeileta mda huu coz sio yenye staha! Kama una...
5 Reactions
92 Replies
10K Views
Sina kikubwa cha kumrudishia Mwenyezi Mungu ila namshukuru kwa kuongeza furaha ya ndoa yangu kwa kutujaalia kababy girl,juzi mchana!! Karibuni katika malezi na makuzi bora ya taifa la kesho!
9 Reactions
20 Replies
4K Views
Wakuu nilikuja hapa kuwaeleza nimepata mchumba wa kiganda. Jamani yaliyonikuta sitaki tena, si kanipeleka kwao kunitambulisha baada ya utambulisho si nikaomba nijue angalau japo kiasi cha...
7 Reactions
108 Replies
10K Views
Wnawake Wengi Wamekuwa Na Mtizamo Hasi Kwamba Suala La Hamu Ya Kufanya Mapenzi Lipo Kwa Mwanaume Yeye Mwanamke Anabaki Kuwa Mshirikishwa Tu Ili Kumridhisha Mwanaume! Hii Hulka Inapelekea...
3 Reactions
188 Replies
14K Views
I got three reasons why I love and support woman. 1. Women are not treated equally in our society 2. Women are not treated equally in politics. 3. What if 75% of our world leaders were women...
0 Reactions
1 Replies
1K Views
Habari za Jumapili wana MMU na wengine wooote toka majukwaa mbalimbali... Nipo hapa leo kwajili ya Kutafuta amani kwa sie tunaotokea kukwazana kwa somecomments, Inafikia hatua mtu kujenga chuki...
7 Reactions
82 Replies
6K Views
MARA MOJA TU! UGONJWA UNAO ANGAMIZA WANAUME WENGI DUNIA YA LEO ! KARIBU KILA MWANAUME AMEPATA KUUGUA UGONJWA HUU, LAKINI WACHACHE WANATOKA SALAMA! STORY INAKWENDA HIVI: Peter alikutana na...
13 Reactions
37 Replies
4K Views
sijui ni mila zao au ni kitu gani hiki.... binti amekua mfanyakazi kwa miaka kama mi3..akachumbiwa na akaolewa. siku ya siku ya kwenda kuolewa katoka na kijibegi tu na mikanga zawada ya kichen...
2 Reactions
44 Replies
4K Views
Mwanamke anafanya kazi na kipato chote anachokipata wanashirikiana na mumewe katika kuendesha familia. Je ni halali kuacha kuchangia chochote kwenye familia pale anapogundua kuwa mumewe ana...
0 Reactions
18 Replies
2K Views
Kujamiana (ama tendo la ndoa) ni moja ya mambo muhimu sana katika maisha ya mwanadamu. Ni ukweli usiofichika kwamba wengi wetu tungependa kuwa na mwenza ambaye mnaridhishana katika tendo la...
0 Reactions
14 Replies
3K Views
Hii imekua ka desturi mabinti wengi hudhani ya kuwa akipata mwanaume amemaliza mambo yote co kweli ukimpata anaekupenda kweli kweli japo ni vigumu ni zaidi ya mahela hivyo basi mwombe Mungu...
0 Reactions
25 Replies
2K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…