Huku ndio ushenzini kwetu

Huku ndio ushenzini kwetu

Mshana Jr

Platinum Member
Joined
Aug 19, 2012
Posts
370,954
Reaction score
858,893
Inauma mno niko Manzese huku sandton bar, ni pazuri na pana lodge nzuri tu pia, kuna mchuchu nilikutana naye jana jioni akaomba tukutane hapa leo, nimeitikia wito lakini kinachokera na kuudhi mno kaja na timu ya mashostito wamekuja kumgidia.

Hawanywi bali wanamwagia tumboni round 3 tu, nimeshakata elfu 60, na hawana dalili ya kulewa wameagiza michemsho na nyama choma, meza imechafuka.

Bar nzima wanasikika wao, mavazi yao mtihani, juke box wamelimiki ni taarabu kwa kwenda mbele, naitwa majina yote matamu,mfukoni nina elfu 75 tu, naangalia jinsi ya kuwatoka.
 
Nenda toilet utokomee huko huko.
afu tukuchangie kodi uhame uswazi? Manake mende, panya, kupe wote wanakutamani!
 
Daaa nishidaaaaaa aiseee! Hao wanachuo nini? Manake duh anaitwa mmoja wanatinga 4
 
watoke fasta na bili waachie maana ishakua noma hapo
 
Haha kunyweni maana nataka kuona kila mtu anakunywa kama mimi
Haya kika mtu akalipe bili yake maana nataja kuona kila mtu analipa bili yake wakati mi nalipa ya kwangu......
 
komaa tu mkuu! nackia mabi.kra wanapatikana maeneo hayo. pengine wote hao mashostito ni mabi.kra.
 
Daaa nishidaaaaaa aiseee! Hao wanachuo nini? Manake duh anaitwa mmoja wanatinga 4

hapana hawa si wanachuo hawa ni wale mashankupe pacee, wamevaa kanga moko wana mishepu na wanakata miuno mwanzo mwisho, they jus don care...!!!
 
Fanya fasta usepe,nawe umezidi raundi ya kwanza unawachekea tu,ya pili hadi tatu bado upo tu?

deo timing ya kuwatoka ndo shida wako makini mno tafikiri wananifahamu miaka kwa jinsi wanavyonichunga
 
Mkuu komaa...Huo ni muda muafaka wa kujifunza ku-practise polygamy! Maana muda si mrefu Tanzania pia itaruhusu ndoa ya wake wengi
 
Mh! mshana una majanga wewe
Chezea watoto wa manzese wewe
 
na wewe ungeita washikaji zako idadi sawa na wale walioongezeka.....🙂
 
hapana hawa si wanachuo hawa ni wale mashankupe pacee, wamevaa kanga moko wana mishepu na wanakata miuno mwanzo mwisho, they jus don care...!!!
umejisumbua bure ...grants mbili za tzs 46,000(in total) zingetosha kuwapumzisha kwa amani....we unawabembeleza na visafari......
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom