Wadau hii glass nnayonywea beer leo!?

WaliNazi

JF-Expert Member
Mar 7, 2012
853
170
Sijui huyu mhudumu kaipaka nini?

Si kawaida yangu jumapili chelewa rudi home, ila hii glass naona kama yavuta marafiki,kila ajae ana double....

Sijui.
 

serio

JF-Expert Member
Apr 15, 2011
6,931
2,000
daaah, there are some rumours about my transfer to atletico Madrid... let me make it clear that am happy here in bongoland.
 

Asnam

JF-Expert Member
Jan 18, 2012
4,258
1,225
Hakuna cha glass wala mhudumu bali uroho wa bia ndo unakugandisha,ww hukatai ofa?
 

Mshana Jr

Platinum Member
Aug 19, 2012
148,680
2,000
Sijui huyu mhudumu kaipaka nini?

Si kawaida yangu jumapili chelewa rudi home, ila hii glass naona kama yavuta marafiki,kila ajae ana double....

Sijui.

mwanamme ngumi hapigwi moja na safari moja huanzisha nyingine
 

Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Similar Discussions

Top Bottom