Wito kwa mabinti- usimtumie mwanaume ka kitega uchumi

Heri lee

JF-Expert Member
Aug 16, 2013
996
2,000
Hii imekua ka desturi mabinti wengi hudhani ya kuwa akipata mwanaume amemaliza mambo yote co kweli ukimpata anaekupenda kweli kweli japo ni vigumu ni zaidi ya mahela hivyo basi mwombe Mungu akujalie akupendae na ww umpende hela zipo sana au vipi

via sumsung galaxy s 3000
 
Vaislay

JF-Expert Member
Jun 26, 2011
4,504
2,000
waachie walionazo kama ww huwezi...
Mi nashangaa sana..wengine mnalalamika huku wengine wanatoa bila shida tena bila kukumbushwa..
 
Ground 00

JF-Expert Member
May 18, 2014
2,116
2,000
Ndugu jifunze kutoa bila kuombwa. Mwanaume ameumbwa ili amgharamikie mwanamke. Mwanamke kutunzwa bwana! Usione vyaelea..vimetunzwa! We lalamika tu. Real men hawalalamiki. Wanakupa tu coz ni wajibu wao!
 
Tized

JF-Expert Member
Nov 1, 2012
4,024
2,000
Nakataa pesa kuwa kipaumbele cha mahusiano.. ila Utegemezi kwa mwanaume ulikuwepo na utaendelea kuwepo hadi litakapotimia hili andiko Isaya 4:1 na siku hio wanawake saba watamshika mtu mume mmoja wakisema, tutakula chakula chetu, na kuvaa nguo zetu wenyewe, lakini tuitwe tu kwa jina lako; utuondolee aibu yetu. Utukufu wa siku za usoni kwa mabaki wa sayuni''

Hii imekua ka desturi mabinti wengi hudhani ya kuwa akipata mwanaume amemaliza mambo yote co kweli ukimpata anaekupenda kweli kweli japo ni vigumu ni zaidi ya mahela hivyo basi mwombe Mungu akujalie akupendae na ww umpende hela zipo sana au vipi

via sumsung galaxy s 3000
 
badiebey

JF-Expert Member
Nov 29, 2013
5,877
1,500
Mhhhh af hyo via samsung hyo???...
Anyway back to topic,
mapenzi kwani yapo sikuhizi ?utajuaje kama anakupenda,mana the moment u act loyal thts when u get played,kina dada go for money mana ipoo inaonekanaa
 
Heri lee

JF-Expert Member
Aug 16, 2013
996
2,000
Mhhhh af hyo via samsung hyo???...
Anyway back to topic,
mapenzi kwani yapo sikuhizi ?utajuaje kama anakupenda,mana the moment u act loyal thts when u get played,kina dada go for money mana ipoo inaonekanaa

kumjua n zaidi ya necta
 
DEMBA

JF-Expert Member
May 10, 2012
8,180
2,000
Mhhhh af hyo via samsung hyo???...
Anyway back to topic,
mapenzi kwani yapo sikuhizi ?utajuaje kama anakupenda,mana the moment u act loyal thts when u get played,kina dada go for money mana ipoo inaonekanaa

hapo red mi hata sielewagi....je hako ka sentensi huwakako kwenye simu au?
 
lara 1

JF-Expert Member
Jun 10, 2012
15,663
2,000
Babu weeee ifike mahali ujitambue. USIJITIE KUPIGA MBIZI WAKATI KUOGELEA HUWEZI! KULA SAIZI YAKO VIKUBWA MBAKISHIE BABA ATAKUKURUKA NAVYO! Upo hapo?

One day utatoka kimaisha utakuwa hutaki kupiga watu FREE P, kabisaa, uconsume basket moja na wachimba chumvi???? Thubutuuuuuuuuuuuuuu! Utakuwa unamchukua higgest priced! Kila kitu na wakati wake!h
 
lara 1

JF-Expert Member
Jun 10, 2012
15,663
2,000
Come to think of it mtu kama Kelvin, au Mawaziri hivi, hawa ma CEO kina Kime na Mafu, kweli kabisaaaa wakuapproach afu ULETE ZA FREE P, si watakimbia baruuuuuuuuuu!

Manake watajiuliza IF SHE IS THAT CHEAP MANAKE KILA MTU ANAMUAFFORD SO JAMVI LA WAGENI WA KILA UMRI, ECONOMIC STATUS, PURUKUSHANI!!!!!!!!!!!

Free P sio kila mahala ni mahala pake! Sehemu nyingine ni nomaaaa! HIVI WOTE NILIOWATAJA WAMEOA EEEH? MY BAD!
 
lara 1

JF-Expert Member
Jun 10, 2012
15,663
2,000
Nakataa pesa kuwa kipaumbele cha mahusiano.. ila Utegemezi kwa mwanaume ulikuwepo na utaendelea kuwepo hadi litakapotimia hili andiko Isaya 4:1 na siku hio wanawake saba watamshika mtu mume mmoja wakisema, tutakula chakula chetu, na kuvaa nguo zetu wenyewe, lakini tuitwe tu kwa jina lako; utuondolee aibu yetu. Utukufu wa siku za usoni kwa mabaki wa sayuni''

Ukiwa hutumii pesa utakuwaunakula MISANTURAAA tu, isiyokuwa HOT IN DEMAND sokoni, IF YOU DESERVE THE BEST, ONLY THE BEST AND NOTHING BUT THE BEST LAZIMA UNOSHE MAKALI YA KISU BABA! ITS A FREE COUNRTY BUT A COMPEPETIVE ECONOMY!
 
HARUFU

Platinum Member
Jan 21, 2014
28,327
2,000
Ngoja nikupe tafu mleta mada naona wote wanapingana na wewe ni hivi wasikutishe sana wala kukukatisha tamaa na msimamo wako kwani papuchi si ile ile wao wanaosema papuchi pesa wakumbuke lengo letu ni moja tu, kupata raha duniani pesa au sio pesa raha duniani wote tunapata
 
Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom