Wanaume ifike mahali tuseme imetosha, Tuchukue maamuzi magumu sasa!

chakii

JF-Expert Member
Sep 15, 2013
18,752
2,000
Wnawake Wengi Wamekuwa Na Mtizamo Hasi Kwamba Suala La Hamu Ya Kufanya Mapenzi Lipo Kwa Mwanaume Yeye Mwanamke Anabaki Kuwa Mshirikishwa Tu Ili Kumridhisha Mwanaume!

Hii Hulka Inapelekea Wanawake Wengi Kuona Suala Hili Kama Mtaji Kwao, Wengine Wakitaka Kufanyiwa Mambo Makubwa Kama Kujengewa Nyumba, Wapewe Hela Ndiyo Watoe Penzi!

Sasa Kwa Wale Wanaume Wenzangu Kama Mimi Tusiopendezwa Na Tabia Hizi Tuanzishe Mgomo Wa Kutoshiriki Mapenzi Mpaka Hapo Hawa Wanawake Watakapobadilisha Mitazamo Yao Kwamba Suala La Mapenzi Ni La Kufurahiana Kwa Wote Mwanamke Na Mwanaume Na Siyo Kwamba Mwanaume Ndiyo Mwenye Uhitaji Zaidi Kiasi Cha Kufikia Kumnyanyasa,.

Kwa Wale Mtakaoniunga Mkono Basi Tuwasiliane Tujue Mgomo Unaanza Lini!!

Wanaume Tusiwe Goigoi Tena Katika Suala La Mapenzi,. Tuwe Na Msimamo Sasa!!

Nawasilisha,..
 
Pendael24

JF-Expert Member
Feb 13, 2014
3,061
2,000
kweli lakin, itawezekana vipi wakati mwili umesha zoeshwa ngono mpaka mtu anadiriki kusema amalizi wiki bila ya kufanya ngono,sasa kugomeaaa! sijui itawezekanaje, labda itumike njia mbadala >soap<
 
SURUMA

JF-Expert Member
Mar 22, 2011
2,901
1,250
Wnawake Wengi Wamekuwa Na Mtizamo Hasi Kwamba Suala La Hamu Ya Kufanya Mapenzi Lipo Kwa Mwanaume Yeye Mwanamke Anabaki Kuwa Mshirikishwa Tu Ili Kumridhisha Mwanaume!

Hii Hulka Inapelekea Wanawake Wengi Kuona Suala Hili Kama Mtaji Kwao, Wengine Wakitaka Kufanyiwa Mambo Makubwa Kama Kujengewa Nyumba, Wapewe Hela Ndiyo Watoe Penzi!

Sasa Kwa Wale Wanaume Wenzangu Kama Mimi Tusiopendezwa Na Tabia Hizi Tuanzishe Mgomo Wa Kutoshiriki Mapenzi Mpaka Hapo Hawa Wanawake Watakapobadilisha Mitazamo Yao Kwamba Suala La Mapenzi Ni La Kufurahiana Kwa Wote Mwanamke Na Mwanaume Na Siyo Kwamba Mwanaume Ndiyo Mwenye Uhitaji Zaidi Kiasi Cha Kufikia Kumnyanyasa,.

Kwa Wale Mtakaoniunga Mkono Basi Tuwasiliane Tujue Mgomo Unaanza Lini!!

Wanaume Tusiwe Goigoi Tena Katika Suala La Mapenzi,. Tuwe Na Msimamo Sasa!!

Nawasilisha,..

Hapa hutopata mtu!!!!!!! Yaani nigomee FIRIGISI???? Not me!!!
 
Mazigazi

JF-Expert Member
Jul 6, 2012
9,018
2,000
Wnawake Wengi Wamekuwa Na Mtizamo Hasi Kwamba Suala La Hamu Ya Kufanya Mapenzi Lipo Kwa Mwanaume Yeye Mwanamke Anabaki Kuwa Mshirikishwa Tu Ili Kumridhisha Mwanaume!

Hii Hulka Inapelekea Wanawake Wengi Kuona Suala Hili Kama Mtaji Kwao, Wengine Wakitaka Kufanyiwa Mambo Makubwa Kama Kujengewa Nyumba, Wapewe Hela Ndiyo Watoe Penzi!

Sasa Kwa Wale Wanaume Wenzangu Kama Mimi Tusiopendezwa Na Tabia Hizi Tuanzishe Mgomo Wa Kutoshiriki Mapenzi Mpaka Hapo Hawa Wanawake Watakapobadilisha Mitazamo Yao Kwamba Suala La Mapenzi Ni La Kufurahiana Kwa Wote Mwanamke Na Mwanaume Na Siyo Kwamba Mwanaume Ndiyo Mwenye Uhitaji Zaidi Kiasi Cha Kufikia Kumnyanyasa,.

Kwa Wale Mtakaoniunga Mkono Basi Tuwasiliane Tujue Mgomo Unaanza Lini!!

Wanaume Tusiwe Goigoi Tena Katika Suala La Mapenzi,. Tuwe Na Msimamo Sasa!!

Nawasilisha,..
Unataka tuungane kwa ajili mgomo wa mapenzi?...hivi umesahau kuwa mwanaume ni taasisi kamili inayojitegemea.
 
Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom