Mapenzi matamu but mwisho wa siku yanageuka machungu

Mapenzi matamu but mwisho wa siku yanageuka machungu

benwilly 09

Member
Joined
May 23, 2014
Posts
17
Reaction score
1
Msaada wa mawazo kwa wadau.

Mimi nina mschana my gfriend, sikuwahi kushare nae tendo la ndoa sababu alikuwa bado masomoni o'level shule fulan jiji Dar.

kwa sasa amehitmu form 4 but kuna siku alikuja home kunitmbelea nikamkaribisha vizuri na kwa kuwa alikuwa ni mpenzi wangu tulipeana romance na hatamae nikamgusa na uume wangu ukeni kwake huku tukiendelea na romance.

Kwa bahat mbaya nikajikuta nimemwagia nje eneo la ukeni huku akiwa bado bikra.

Cha ajabu baada ya miezi 2 ananiambia ni mjamzito je inawezekana mimba ikawa yangu?
 
hiyo mimbaiko tumboni au juu ya papuchi ulipomwagia jibu.....loading error.....
 
hivi mimba kuingia ni sawa na kula ugali et?
 
Ili mimba itungwe inahitajika yai la kike na mbegu za kiume zikutane, kwa kuwa uliweka juu yake huo mzigo kuna uwezekano zilichuruzika kwenda ambako hazikutumwa... kwani cha ajabu ni kipi kwa wanaoshangaaa?

Sikukanii, inawezekana ulivyokua unamwambia unaweka kichwa tu, mbegu zako zilifika kusikotakikanana na ilisikua siku hatari kwake. Kutokana na ninayoyafahamu hadi sasa... INAWEZEKANA.

msaada wa mawazo kwa wadau.
mm nina mschana my gfriend, skuwah kushare nae tendo la ndoa coz alkuwa bdo moxomon o'level ktk shule fulan jiji dar. kwa xaxa amehtmu form 4 bt kna xku alkuja hm kntmbelea nkamkarbsha vzur na kwa kuwa alkuwa n mpenz wang 2lipeana romance na htamae nkamgusa na uume wang uken kwake hk 2kiendelea na romance. kwa baht mbaya nkajkuta nimemwagia nje eneo la uken hk akiwa bdo bkra. cha ajabu baada ya miez 2 ananiambia n mjamzto je inawezekana mimba ikawa yangu?
 
Ili mimba itungwe inahitajika yai la kike na mbegu za kiume zikutane, kwa kuwa uliweka juu yake huo mzigo kuna uwezekano zilichuruzika kwenda ambako hazikutumwa... kwani cha ajabu ni kipi kwa wanaoshangaaa?

Sikukanii, inawezekana ulivyokua unamwambia unaweka kichwa tu, mbegu zako zilifika kusikotakikanana na ilisikua siku hatari kwake. Kutokana na ninayoyafahamu hadi sasa... INAWEZEKANA.

Umenipa raha kuna kitu umenigusa kama vile ulikuwepo
 
inawezakana kaka...inawezekana ckuhiyo alikuwa kwenye danger zone na kwakawaida kipind hicho yai linakuwa limepevuka na kutoa ute ambao unasababisha uke kuwa na unyevu...sasa inawezekana mbegu zako zilisafilishwa na huo ute mpaka kwenye yai.kumbuka mbegu zinateleza...cha msingi subili mdada ajifungue mkapime DNA...
 
Ni kawaida mkojo unapopitia na mbegu zinapitia palepale, kuwa bikira siyo kwamba sealed kabisa, njia ya kupitishia mkojo ipo,hivyo jiandae kulea na umuoe.
 
Duh! Hii kali so mtoto atazaiwa na mwanamke bikra?
Ila hii haikutabiriwa!
 
Ni kawaida mkojo unapopitia na mbegu zinapitia palepale, kuwa bikira siyo kwamba sealed kabisa, njia ya kupitishia mkojo ipo,hivyo jiandae kulea na umuoe.

sayansi ya mapenzi na ya mwili wa binadamu vinapishana.
 
Division 5 hazitapungua kama wanafunzi wenyewe ndiyo hawa.
 
Huwa ni ngumu pale unapoitafuta.. ila pale unapoikwepa au usipoihitaji... ndio hata harufu tu ikisikia kitu kinatungwa....Kidding anyway

hahha.. kwa jinsi dogo alivyojieleza hapo hiyo ni harufu tu imetengeneza kitu
 
Back
Top Bottom