Asante sana Mungu wangu!

miss chagga

JF-Expert Member
Jun 7, 2013
57,917
2,000
AMINA.. ubarikiwe baba halima loh ujaliwe baraka zote usichepuke wakati wa malezi ya mwanao... kuwa na mama kila mahali lohhh ubarikiwe aisee duh natamani aisee... jamani
 

Blue G

JF-Expert Member
Jun 20, 2012
5,213
2,000
Jamani hongera sana mungu awatangulie mumlee kwa maadili mema na yatakayomsaidia hapo mbeleni.
 

amu

JF-Expert Member
Aug 8, 2012
15,124
2,000
Kama shemeji alikuwa analala sebuleni.
Tegemea sasa mama mkwe,mawifi, mke wa shemeji,binamu, shangazi wa mume kuja kujazana kwenye kisebule chako kukukanda maji na kukushindilia mi mitori.
Hongera mwaya.
Eeee mola na mie nijaaalie 2016 kibaby girl.
 

Suprise

JF-Expert Member
Nov 2, 2012
2,697
1,195
Kama shemeji alikuwa analala sebuleni.
Tegemea sasa mama mkwe,mawifi, mke wa shemeji,binamu, shangazi wa mume kuja kujazana kwenye kisebule chako kukukanda maji na kukushindilia mi mitori.
Hongera mwaya.
Eeee mola na mie nijaaalie 2016 kibaby girl.

2016 hahahaa, shost ngoja niseme AMEN
 

Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Similar Discussions

Top Bottom