Kigodoro! One night stand! (mlio oa hamuhusiki na hii mada except mizee ya michepuko)

lara 1

JF-Expert Member
Jun 10, 2012
15,663
2,000
Namasteeeeeeeeee!!! (Nawakumbuka wana jf wastaafu, Ciello, Nicole, Lady doctor, Kaunga, yesoya!
Kamati kuu ya kigodoro natambua uwepp wenu! Hii mada nimeileta mda huu coz sio yenye staha! Kama una udhu, ondoka mapemaaa!

Mambo ya one night stand kwa wadada, mwenzenu naona imekuwa fashion afu kama siielewi elewi napitwa flani hivi, na nisivopenda kuonekana nimekuja na mbio za mwenge kama sio malori ya kebichi!?

Mwenzangu siku hizi wadada wa mujini, I mean the working class you know naona wanamichepuko wenyewe wanaita FOR FUN! Sio siri wanaume wa maana wachache, marioo, punguza macameroon, punguza lazy billy inakuwa ishu si ndogo!

Maisha yenyewe mafupi afu magumu, ndoa na uchumba watu wanaangali future na maslahi, sasa hapo nafsi inakuwa haina nafaai, unaweza sema watu mi cyborg mtu humpendi unaolewa naw vipi? Ndo mchezo wao wa sasa wa 1 night stand hizi!

Mnakutana tu briefly kwenye semina, kazini, evening classes, kila mtu na stress zake, mnasomana kiutu uzima, mnapeana mambo kiutu uzima, no strings attached, mpaka next time! Watu wanakwambia maisha mafupi afu hupati vyotee! Mkaka mzuri umuachie hivi hivi? Kuna watu wanaendekeza free P! Weee! Acha kabisaa!

Wengine wanaogopa kudengua dengua, maana ma hb wachache mwenzangu, umri ushaenda, kujifanya virgin ndo nini wakati wote mnahistoria!? Sasa kudai comittment mapema inakuwa soo si utani! Mtu anakubali kupigwa free p(mnajua kabisaa mimi niko against hii policy) sasa atafanyaje? Ukidengua wenzio wanaachia! Chezea free market economy?!

Wanaume wanapenda hivi vya kunyongaaaa! Hakataiiiii! Akiona oma limekaa uzuri huyo ashatupia raizoni namba 2 standby kulicheza! Kama ana uwezo atagharamia hadi homa liende Arusha alitafune kwa nafasi! Chezea cha kuokota si cha kuiba!

Wanafunzi mkomeee kuingilia hii mada! Msome mlipe mikopo ya watu, hasa miss neddy unashinda mno humu unakomazwa akili wakati umri bado kabisaa! Msome wadogo zangu, The prince charming is real, the golden casttle is real, the happy ending is real, just believe it and work hard! Si wazee ndo tunajua undani wa hizi mambo!

AND THE CYBER BULLYING MAY BEGIN! Cyborg niko standby! NI KAZI CHAFU LAKINI LAZIMA MTU AIFANYE!
 

gwijimimi

JF-Expert Member
Sep 24, 2011
7,276
2,000
Do u think wanamiss handsome au smthng real gud on bed?
Do the math bwana cyborgy
 

lara 1

JF-Expert Member
Jun 10, 2012
15,663
2,000
Ole wako urudi.
Hahahahaaaaaaaaaaaaaa! Ndo umeona umtimue kabisaaaaa!!?? Babu una mbwe mbwe wewe! Nimecheka mpaka basi! Piga ua lazima arudi kusoma crusification and blood shed ya humu!
 

lara 1

JF-Expert Member
Jun 10, 2012
15,663
2,000
Sijajua exactly tuchangie nini? Ni kama una hamu na one night stand but u feel guilty
Mi nimetoa general PICTURE ya hali ilivo, kama jamii ya miafrica jinsi tulivyo kila mtu ATOE MTIZAMO WAKE JUU YA HALI YA KIJAMII! NENO LANGU SIO SHERIA UNAWEZA KUBISHA, KUKANUSHA KUKUBALI MRADI TWAPATA GAHAWA NA GASHATA.
 

lara 1

JF-Expert Member
Jun 10, 2012
15,663
2,000
Mtoe mtizamo wenu huko kwenu khali iko vipi? Nchi kubwa hii yakheeee!
 

Asprin

JF-Expert Member
Mar 8, 2008
61,730
2,000
Hahahahaaaaaaaaaaaaaa! Ndo umeona umtimue kabisaaaaa!!?? Babu una mbwe mbwe wewe! Nimecheka mpaka basi! Piga ua lazima arudi kusoma crusification and blood shed ya humu!

Akigeuzwa temporary mchepuko ntakukagua mchana kweupe.... Am warning you yooooo...
 

Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Similar Discussions

Top Bottom