Its means mume ana pesa ming ndo mana kaengeza chepuko
Asichangie hat sh kumi kulaleki
Na kodi ya meza amuongezee kibisa
Mwanamke anafanya kazi na kipato chote anachokipata wanashirikiana na mumewe katika kuendesha familia. Je ni halali kuacha kuchangia chochote kwenye familia pale anapogundua kuwa mumewe ana mahusiano mengine nje (michepuko)?
sio mara zote kuchepuka ni kupeleka hela nje. Naomba ieleweke kwamba michepuko mingine inalipa tena sana. SOURCE.. uzoefu
Mwanamke anafanya kazi na kipato chote anachokipata wanashirikiana na mumewe katika kuendesha familia. Je ni halali kuacha kuchangia chochote kwenye familia pale anapogundua kuwa mumewe ana mahusiano mengine nje (michepuko)?
Inategemea, je mume huko kwa mchepuko anachangia kiasi gani? Manake kama mie natia kila kitu kwenye kapu na wewe una ziada ya kugawa? Ni dhahiri nachangia sana. Dawa ni kutochangia ili mume ajipime kifua, tuone anamudu michepuko mingapi na ya aina gani? Manake na mie nikiwekeza kwenye mavazi, mapochi, designer perfumes na lace wigs za maana labda ntafanana na mchepuko wako badala ya kuwekeza kwenye matofali. Na nitakuwa na
less stress na energy ya kukuhudumia manake nawaza sex tu labda na kupika na kusimamia usafi tu.
Here we go again
nimekupendaje, tuchangie kapuni kama nahisi am pat of you, sio me naweka ye apendezeshwe, inahuu, afu we mtoa mada nikisema am pat of u nt necessary iwe kwenye hela, tunashea kila kitu sasa hata kama mchepuko hatumii hela yetu anatumia mda wetu so there is no more maana ya kuchangia
hapo ndio neno lilipo.