Hisia zangu jaman

Hisia zangu jaman

Maho gel

JF-Expert Member
Joined
Mar 12, 2014
Posts
308
Reaction score
99
jamani n muda mrefu sana tangu nlipowahi kuwa close na guy (hug) am not experience wat sex is bt through hugging nlipata kujua on how its good to be touched with some body with differnt sex. samtimes huwa napnd niwe na a guy tupendanae but naishia kupendwa na watu nisio na hisia nao na watu niwapendao huwa nahis wanadate tayar then huwezi kumwamba guy that you love him ,coz anaweza kukubal but ukaa tool of leisure.kwa muda huu ni kama 7 years sija hug na mtu then ninahisia nying jaman kiasi kwamba ikitokea mvlana akanishk kibahat mby au kiutan may b kiuno, maskio huwa na feel disire of having sex plz jamn wat can i do?
 
Ahsante kwakutujulisha kwamba uko singo...and that you are desperately in need of love SMIGO mzigo juu hapa....!!!
 
Last edited by a moderator:
Mmmh jitunze mtoto..lkn nahisi kwa maneno mengine unamaanisha unahitaji mtu ila umetumia lugha ya picha, ila wajanja wa hapa watakuelewa utakula pm za kutosha..jf siku hizi next level kabisa..!!
 
Hehehehhe checklist zenu zinawasumbua hizo so hongera na bado nahisi hyo bikira itatolewa na mume Wa mtu
 
Ngoja nikushauri cha kufanya!
Nipe PM ya namba zako tuzungumze vizuri
 
sasa mrembo we nisome mimi ninachokuambia
wengi ya guy wa hapa ni waume za watu, tulio singo tunahesabika hapa
so kuwa makini sana
pia kati ya tulio singo pia wenye mapenzi ya kweli ambao tunajua kucare tuko wachache sana
mbali na mapenz ya kweli pia tunaoweza kukidh mahitaj yako ya hali na mali pia tuko wachache mno
kuwa makin ktk uchaguzi wako bint
 
yaan husihangaike kabsa binti niko hapa bonge la hansam
naiman utakuwa na hisia nami, ukitaka hata picha mi nitakutumia
nitakufanya ujihisi kama uko katkat ya bustan ya eden, huku nikihakikisha natulza hitaj la moyo wako
ukiwa salama mikonon mwangu, nikikupaisha ktk kilele cha maraha kisichowah kukaribiwa na msichana yeyote ktk dunia hii!
Nakuja pm tubadirishane namba mtoto mzuri..tena ni kama bahat maana tuanaendana sana ktk historia ya kimahusiano
 
me niko ready bt chini ya hizi condition
1) eka passport picha yako
2 ) piga picha ya umbo lako mbele na nyuma
3 ) njoo gheto
 
Back
Top Bottom