Kwa wenye wafanyakazi wa ndani tu (house girls)

JOSEPH MALULU

Member
Jan 2, 2014
77
0
Je, ni sahihi kumkataza house girl asizungumze na ndugu zake, asitoke nje ya geti,asikae sebuleni, akienda kusali mpaka alindwe?
 

Zogwale

JF-Expert Member
Jul 10, 2008
13,194
2,000
Je ni sahih? Kumkataza house girl asizungumze na ndg zake, asitoke nje ya get,asikae seblen, akienda kusal mpaka alndwe

Yuko magereza ipi hiyo kati ya Segerea na Keko? Au ni la kule Ukonga?? Unazungumzia mabinti wa miaka hii ya ile ya kweusi? Kwa wa kileo kesho yake ataondoka. Sebuleni inawezekana asikae kwa kuwa kwa wale wenye uwezo kuna sebule zaidi ya moja. Kwa sebule yangu hawezi kukaa maana ni private!!! Kwa yao Yes atakaa kwa raha zake.
 

Mkereketwa_Huyu

JF-Expert Member
Feb 19, 2011
7,176
2,000
Je, ni sahihi kumkataza house girl asizungumze na ndugu zake, asitoke nje ya geti,asikae sebuleni, akienda kusali mpaka alindwe?Si sahihi, huu ni utumwa ila pia kuna baadhi ya mahouse girls wakipata uhuru tu wanajisahau na kufanya vitu wanavyojuwa wenyewe mfano wa kutembea na kila mwanamme mtaani wakati wenye nyumba wako kazini, kunusa chupi za baba wa nyumba na kuzipaka dawa za kienyeji ili mama wa nyumba aachike achukuliwe yeye.
 

inspector laddy

JF-Expert Member
Jan 5, 2014
762
0
Hg anapaswa asinyanyaswe wala kunyanyapaliwa,aishi kama mwanafamilia ila kuwe na mipaka tu!na wao ni binadamu wanamapungufu wapendwe na warekebishwe inapobidi!
 

mamii2

JF-Expert Member
May 7, 2014
356
195
Yuko magereza ipi hiyo kati ya Segerea na Keko? Au ni la kule Ukonga?? Unazungumzia mabinti wa miaka hii ya ile ya kweusi? Kwa wa kileo kesho yake ataondoka. Sebuleni inawezekana asikae kwa kuwa kwa wale wenye uwezo kuna sebule zaidi ya moja. Kwa sebule yangu hawezi kukaa maana ni private!!! Kwa yao Yes atakaa kwa raha zake.

Umenena vyema mkuu
 

msemakweli2

JF-Expert Member
Jul 28, 2013
1,637
2,000
kwanini umfanyie hivyo wakati naye ni binadamu anamahitaji yake??ikiwezekana weekend unampa hata elfu tano unamwambia nenda katembee!hii ya kuwafungia wadada ndani ndo unakuta wengi wanamegwa na wababa kwakuwa nao huwa wanahamu kutwa kucha kufungiwa ndani.
 

Ennie

JF-Expert Member
Jan 15, 2011
7,140
2,000
Si sahihi, huu ni utumwa ila pia kuna baadhi ya mahouse girls wakipata uhuru tu wanajisahau na kufanya vitu wanavyojuwa wenyewe mfano wa kutembea na kila mwanamme mtaani wakati wenye nyumba wako kazini, kunusa chupi za baba wa nyumba na kuzipaka dawa za kienyeji ili mama wa nyumba aachike achukuliwe yeye.


Housegirl ni binadamu kama binadamu wengine na binadamu hachungwi!!!
Akiamua kutembea na vijana wa mtaani atatembea nao tu hata kama ulimpiga marufuku asiguse geti,hilo la kunusa vyupi na kuvipaka dawa sijaelewa kuwa hivyo vyupi mnaviweka wapi mpaka msichana awe na access navyo?
 

Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom