baloteli15
Member
- Jan 1, 2014
- 38
- 8
Mimi ni kijana wa miaka 25 sasa nipo chuo kikuu nangu nasoma sijawahi kuwa na msichana kwani nimesoma shule za boyz mpaka nafika huku na sina mapungufu ya aina yoyote naomba msaada wenu wa mawazo nifanyaje?
Kaa hivyo hivyo mpaka uoe usijaribu kuingia kwenye mapenzi ukiingia utakua unalalamika kila siku kama wenzio humu wanavyolalamika
kwanza hongera kwa kujitunza kama kijana afu pili kwani hujawahi kuwa katika mahusiano kwa sababu zipi?
1.umeamua?
2.hujampata aliye sahihi?
3.unasubiri mpaka ndoa?
4.huwezi kuwaaaproach wanawake? au
5.huwezi kudumisha mahusiano?
6.wanawake wanakutolea nje?
kama ni kwa sababu ya 1,2 na 3 sioni haja ya wewe kuomba ushauri kwani sababu hizo ziko ndani ya uwezo wako na wewe ndiye mwenye maamuzi ya mwisho,labda kama ni kwa ajili ya hizo sababu ya 4,5 na 6,sasa em funguka mkuu baloteli15 ili tujue tunaanzia wapi.
Utakua na matatizo!
Hii ndo shida yake kubwa shule za boys huwa zinawafanya wanaume kuwa waoga ndo maana wanaume wengi waliosoma shule za seminar za boys tu wakisha wazoea wanawake huwa wanakuwa wasumbufu mnokwanza hongera kwa kujitunza kama kijana afu pili kwani hujawahi kuwa katika mahusiano kwa sababu zipi?
1.umeamua?
2.hujampata aliye sahihi?
3.unasubiri mpaka ndoa?
4.huwezi kuwaaaproach wanawake? au
5.huwezi kudumisha mahusiano?
6.wanawake wanakutolea nje?
kama ni kwa sababu ya 1,2 na 3 sioni haja ya wewe kuomba ushauri kwani sababu hizo ziko ndani ya uwezo wako na wewe ndiye mwenye maamuzi ya mwisho,labda kama ni kwa ajili ya hizo sababu ya 4,5 na 6,sasa em funguka mkuu baloteli15 ili tujue tunaanzia wapi.
Njoo tuanze ukurasa wa mapenzi mimi na wewe.
Mimi ni bikira na sijawahi kufanya mapenzi kama ilivyo kwako.
Tutafundishana.
Mhhh.... Bikra ya nini maana kitu usichowahi kukitumia chochote kina bikraNjoo tuanze ukurasa wa mapenzi mimi na wewe.
Mimi ni bikira na sijawahi kufanya mapenzi kama ilivyo kwako.
Tutafundishana.
Hii ndo shida yake kubwa shule za boys huwa zinawafanya wanaume kuwa waoga ndo maana wanaume wengi waliosoma shule za seminar za boys tu wakisha wazoea wanawake huwa wanakuwa wasumbufu mno
mm ni kijana wa miaka 25 sasa nipo chuo kikuu nangu nasoma sjawahi kuwa na msichana kwan nimesoma shule za boyz mpaka nafka huku na sina mapungufu ya aina yoyote naomba msaada wenu wa mawazo nifanyaje?
Inatakiwa ujiamini miaka 25 si haba mke utapataje sasa au utaomba wazaz wakutafutie,na utafutiaji wa siku hizi ni tofauti pamoja na kuwa binti ataelezwa lakini unakutanishwa naye mkiwa wawili ili apate uhakika kama unamhitaji kweli au umelazimishwa sasa kwa hali hiyo hapo lazima jasho likutoke aisee!nashukuru mkuu hafu jambo hata msichana akionyesha kunipenda nashindwa kumwonyeshewa kuwa namm namuhitaji kwa jinsi ninavyo ogopa
Ha ha haaaaa 😛ainkiller:
upo mwaka wa ngapi chuoni???umejipangaje kukabiliana na changamoto za mapenzi......