Uanaume ni kazi!

Hoshea

JF-Expert Member
Jan 24, 2012
4,624
2,000
Unaumwa wewe,
labda wanaume wajinga hao waume za watu unowaita watamu ndio wataongozwa na matetea kama nyie.
 
AdvocateFi

JF-Expert Member
Jan 15, 2012
11,511
2,000
Moja ya zawadi the best ambayo Mungu alinipa, ni hii ya kuwa mwanaume, in short ukiwa mwanaume tu tayari ni kipaji hicho, kwani unakuwa na sifa zifuatazo yani granted fom the heaven.
1.Huogopi, Jasiri, Unanasimamia maamuzi, shida ni fursa kwako, unaishio popote pale unapotaka, etccc

Mwanaume ni simba, A man is a lion"-(Steven kanumba stated)
 
bantulile

JF-Expert Member
Feb 27, 2012
1,573
1,250
Huwezi kutangulia mbele unaacha mzigo nyuma wakija wanaume wenzio wakaupora! Unakuwa nyuma huku ukiangalia kila upande nyuma yake, mbele , pembeni kuona hakuna jambo lolote baya linatokea na likitokea unakabiliana nalo.Huo ndiyo uwanaume. Bora mimi nife mzigo ufike. Kiongozi daima huchunga mzigo wake.
Ujasiri ni asili ya viumbe vya jinsia ya Kiume au ni kujitahidi tu usiaibike?
Mwanamume Simama katika Nafasi yako usitishwe na Haki Sawa.
View attachment 160713
 
Nyati

JF-Expert Member
Mar 6, 2009
2,323
2,000
Moja ya zawadi the best ambayo Mungu alinipa, ni hii ya kuwa mwanaume, in short ukiwa mwanaume tu tayari ni kipaji hicho, kwani unakuwa na sifa zifuatazo yani granted fom the heaven.
1.Huogopi, Jasiri, Unanasimamia maamuzi, shida ni fursa kwako, unaishio popote pale unapotaka, etccc

Mwanaume ni simba, A man is a lion"-(Steven kanumba stated)
Haya bwana.., umenikumbusah jamaa aliyekuwa anasema "Ukizaliwa mjini wewe tayari Form Four!"
 
grafani11

JF-Expert Member
May 24, 2011
15,457
1,500
Hamjawaelewa tu, wenyewe wanadai usawa kwenye Lami tu hayo mengine Wanaume tutangulie....
 
Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom