Nipeni maujanja

Nipeni maujanja

Chinga boy

JF-Expert Member
Joined
Apr 3, 2012
Posts
412
Reaction score
103
Mambo wadau.Hivi kule fb ukitaka kung'oa demu unafanyaje maama naona kila kitu kipo open kuna mademu wako loose tu kule. Ukimwi upo na unaua tumia condom
 
Mambo wadau.Hivi kule fb ukitaka kung'oa demu unafanyaje maama naona kila kitu kipo open kuna mademu wako loose tu kule. Ukimwi upo na unaua tumia condom

unaanza kwa kumtumia cv yako, then unamtumia picha uliyopiga na gari yako, then picha nyingine ukiwa kwenye apartment yako ukijipikia mwenyewe bila kusahau picha ya mwisho ya wallet yako nene.
 
Back
Top Bottom