Wakanda2021
Member
- Apr 27, 2013
- 70
- 8
Nina mchumba ambaye nimekuja kugundua kuna m'ke mwenye watoto wa3 anaishi naye.Nikambana sn na kumweleza nimelifahamu kwa njia gn,alikataa badae akakubali na kuniomba msamaha na kuanza kunieleza kuwa yule ni m'ke tu anaishi naye na amemkuta na watoto wake na yuko tayari huho m'ke kumwambia nataka kuoa muda wowote na akamuelewa.Naombeni ushauri kuhusu hili,je,nimsamehe kutokana na maelezo yake au hana uaminifu nimsahau tu ktk maisha yng.