Msandawe Halisi
JF-Expert Member
- Nov 5, 2010
- 647
- 351
Muda huu nipo na wadada hapa kiwandani wanapeana mastori.Walipo wao na mimi kuna barrier fulani hivi ambayo hatuonani ila kusikia nitakacho ongea mimi au wao tutasikilizana. Kwa kifupi hawanioni kama nipo
Nimemsikia msichana moja akisema amwemwacha jamaa yake kisa ana kibamia kwa kutopenda kutangazwa ana bwawa. Mwingine akaongezea mimi mwenyewe mwanaume mwenye kibamia wa kazi gani, kuwekeana shombo tu. Mwingine akadakia shosti ujuwe kitu kinatakiwa kiwe kina fiti kinabana kuta zote kuliko kupwaya pwaya na kwenda kutangaziwa una bwawa la mtera. Wanacheka ha ha ha ha chezeya, kantangazee. Sasa wanaendelea kumjadili mfanyakazi fulani ambaye ana mpini wa haja hapa kiwandani. Jamaa nitaenda kumtonya awatawanyishe miguu, sababu hawa viumbe hawapendi vya kuambiwa bali ngoma inogile waicheze wenyewe.
Kumbe wanawake wanaogopa kutangazwa mabwawa yao, na siyo kutojisikia vizuri wakifanya tendo!!!!!