Doctors

Feb 16, 2014
67
31
Yaani kuna kitu about this people, hata sielewi ni nini ila my dream ni kuolewa na mtu mwenye hii proffession. Hawa watu they got true love na wanajua kujali.

attachment.php
 
Nimesikia kuna uzi mpya huku mmu
unachosema ni kweli hasa wa sikuhizi..na ni kutokana na mazingira tunayokutana nayo... Ukipendwa na daktari akikuacha huwezi dumu na mtu mwingine(ushahidi nnao) ni wavumilivu mno..
 
Nimesikia kuna uzi mpya huku mmu
unachosema ni kweli hasa wa sikuhizi..na ni kutokana na mazingira tunayokutana nayo... Ukipendwa na daktari akikuacha huwezi dumu na mtu mwingine(ushahidi nnao) ni wavumilivu mno..

Daktari, na wewe unakubaliana na habari zisizo na facts zozote? Aaaah!!
 
Uwiiiiiii same thing!!yaan mm nikiona mkaka doc ata awe mbaya vp yaan ,hua namkubali sana am real crazy over them kwakwel,nawapenda mno mno hua naassum vitu vingi sana km nikiwa na mme doc like wtt wangu watakua safe all the tym!!!nawapenda kwakwel ila cjabahatika ata ckumoja Kupata ata doc wa kunikonyeza mpk nimekata tamaaaa yaan!!!
 
Kujali ni kitu cha kawaida kwa sababu utaratibu wa maisha unawajenga kufanya majukumu yao inavyotakiwa na ndivyo ilivyo kwenye mahusiano nao, hapa matarajio ni mazuri.

Tatizo sex kwao ni natural process na sio product ya love, muhimu ni uhitaji wake hapa sasa usishangae akitoka na mwingine na asionyeshe tofauti kwako yaani itakuwa vigumu kumgundua halafu hawapotezi muda kutumia mbwembwe nyingi kukupata kwa usiku mmoja.

Wanapride za ajabu ajabu sana sasa ukimkuta ambaye mfumo dume umemuingia vizuri na wewe kiakili hauko fit jiandae kupokea order tu ukiuliza vizuri wengi wanaoa walimu na manesi.

Wanashobokewa sana na wanawake wengi kwa hiyo huwa wana uwanja mpana wa kuchagua, inabidi ufit kisawasawa kwenye ndoto zake ndo akuoe.

Wazuri kutunziana siri, kumjua vizuri ni kazi kweli kweli.

Hawaogopi kuacha wala kuachwa na they can easily let it go, kwa hiyo ukiwa naye cheza kwa step.

Utapata faida ya kuhudumiwa vizuri kiafya wewe na familia yako, kama nilivyosema hapo juu wanajitahidi kutimiza wajibu.
 
Ni tabia ya mtu! Ni kweli ndani ya proffession wapo wenye ustaarabu na familia! Pia wapo wengi ni walevi wa kupindukia, na kuna wengi wana mind michepuko. Kumbuka mgonjwa kwa daktari huwa weak, na weakness hii yaweza kutumika hata linapokuja suala la mapenzi! Kwa kutumia udhaifu huu wengi wameendekeza michepuko.

Hivyo ustaarabu/upendo wa mtu ni tabia na makuzi yake yalivyojengeka, na wala si lazima viendane na proffession yake.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom