Habari wanajamvi,
Naongea kwa masikitiko makubwa sana na naombeni msinihukumu bali mnipe msaada wa mawazo ni hivi nina girlfriend wangu tulikuwa tunaishi wote Dsm yeye akiwa kwao na mimi nikiwa...
Ndugu wana JF msaada wenu wa mawazo unahitajika, kuna binti mmoja nimetokea kupendana nae lakini kwa mujibu wa yeye alivyonieleza baada ya kukaa nae muda mrefu aliniambia ya kuwa alikuwa na...
Mimi nina miaka 27, mweusi wastani, naishi Dar es Salaam na Lushoto.
Ni mhandisi mhitimu ila sifanyi kazi za kihandisi kwa sasa ,nafundisha shule moja ya seminary.
Kipato changu ni cha...
Laana!! Mke Aishi na wanaume wawili ndani ya Nyumba Moja, Mmoja ni Mume wa Ndoa na Mwingine ni hawara huko Kigogo-Mburahati...!!
DUNIA ina kila kituko, kama hujawahi kukisikia omba Mungu akupe...
Nilikuwa masomoni na nilimuacha mpenzi wangu akiwa na uzuri wa asili (black beauty) lakini nilivyorudi mambo tofauti amekuwa mweupe ajabu, zaidi zaidi ukimvua nguo ndio shida, hata hamu ya kufanya...
Haya niliyapata kutoka kwa mshauri wa masuala ya mahusiano, ndoa na vijana Frederick Kyara. Hizi ni baadhi tu nakuwekea hapa japo kuna vitu pia wanawake hawavipendi kutoka kwa wenzi wao...
Hata sijui wanawake wa siku hizi wamekuaje maana wanapenda mno ndoa yaani mtu mnaazisha uhusiano hata mwezi hujaisha ulishaanza kuulizia ndoa na wakati mwingine wanaume hutumia kete hiyo...
So I have actually been thinking about this dating thing and being a SINGLE MOM for a while. I wonder so hivi mtu ndo hapo you have been a single mom for a while, mara baada ya mda ukaanza kutoka...
Ni kama mara ya tatu namwona; anaimba vizuri , anacheza vizuri, anavaa mavazi ya heshima, ni mzuri wa wastani, kiukweli ananivutia sana.
Nitadondoshaje ngeli sasa kwa watu wanaomsifu Mungu kama...
Habari wanaJF,kiukweli hiki kipindi kinachorushwa na ITV cha dume challenge nakipenda xana kwani kinaonyesha sifa za mwanaume wa Kweli.Kitu kinachonitatiza ni wale washiriki walitoka ina mana si...
Sintofahamu ya ndoa ya VICKY KAMATA kutokana na kile kinachodaiwa ni zuio la mke wa mchumba ambaye alienda kanisani na cheti cha ndoa, umepata fundisho gani?
Habari wanajamvi.Najua wengi wetu ni watumiaji wa manukato.Nisaidieni kujua ni pafyumu au spray gain ya kike inayonukia vizuri ili nikanunue.Si mnajua manukato ni moja ya njia ya kumkonga moyo...
Mzee mmoja, Salim Keni wa Makongorosi huko Chunya mkoani Mbeya, anasema kuwa siku moja alishangazwa sana na kauli ya mtoto wake wa miaka kumi. Anasema alikuwa amekaa nje ya nyumba yake jioni. Hapo...
Yule dogo aliyeua watu sita jumlisha yeye juzi juzi Marekani alilalamika pamoja na mambo mengine kuwa ana umri wa miaka 22 na hajawahi kumanga na siku zote madem anaowatokea wanamreject.
Tuache...
Jamani naomba kuuliza hivi kwa nini mume au mke, girlfriend or boyfriend wanawekeana password kwenye simu?
Kuna nini hapo kinachofichwa?
Au michepuko ndo mingi?
Je ni halali kwa mume au mke...
Ndoa nyingi siku hizi ni majanga mimi naona serikali ifike sehemu iruhusu ndoa mikataba kuanzia mwaka mmoja ili kuepusha misururu ya kudai talaka mahakamani, maana hali inazidi kuwa mbaya huko...
10. Milwaukee, Wis. VISIT Milwaukee
Metro population: 1.2 million
Percentage of unmarried adults: 51.3% (U.S.: 48.6%)
Cost of living: 1.4% above U.S. average...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.