Natafuta mchumba wa kike

Natafuta mchumba wa kike

MENISON

JF-Expert Member
Joined
Apr 26, 2013
Posts
726
Reaction score
623
Mimi nina miaka 27, mweusi wastani, naishi Dar es Salaam na Lushoto.

Ni mhandisi mhitimu ila sifanyi kazi za kihandisi kwa sasa ,nafundisha shule moja ya seminary.

Kipato changu ni cha kawaida,

Kwa sasa nahitaji mwanamke wa umri usizidi miaka 25 na awe mweupe kidogo,

Sichagui dini wala kabila ila awe na hofu ya Mungu.

Elimu sichagui na awe mkweli
 
Mimi nina miaka 27, mweusi wastani ,naishi dar na lushoto ni mhandisi mhitimu ila sifanyi kazi za kihandisi kwa sasa ,nafundisha shule moja ya seminary.Kipato changu ni cha kawaida kwa sasa,nahitaji mwanamke wa umri usizidi miaka 25 na awe mweupe kidogo,sichagui dini wala kabila ila awe na hofu ya mungu.Elimu sichagui na awe mkweli

Dha! Nina mkosi jaman, kila post ikitoka humu nakuwa sina vigezo, mweeeee!!
 
twaona mnatafuta wachumba,mkiwapata mbona hamtualiki kwenye harusi jameni?????
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom