Fundisho gani Kuvunjika kwa ndoa ya Vicky Kamata?

Fundisho gani Kuvunjika kwa ndoa ya Vicky Kamata?

amakyasya

JF-Expert Member
Joined
Jun 26, 2013
Posts
3,480
Reaction score
918
Sintofahamu ya ndoa ya VICKY KAMATA kutokana na kile kinachodaiwa ni zuio la mke wa mchumba ambaye alienda kanisani na cheti cha ndoa, umepata fundisho gani?
vick kamata.jpg vick kmata.jpg vicky kamata.jpg
 
Binti kajitakia mwenyewe...

ametumika sana na watu anaofahamu wana ndoa zao na amesababisha pain kwa familia kadhaa.... Simhurumii, maana kila tufanyapo mabaya huwa tunajua ila basi tu tunakomaa na tukio
 
Fundisho ni kwa wadada wanaokula sana ujana na watu mashuhuri mbalimbali nchini hatimaye umri ukienda wanapata shida sana kupata ndoa ya ukweli.

Ndoa sio nywele kila mtu anazo!wengine mungu hajawabariki!
 
Mim imenifundisha kumbe mchepuko unaumuhim wake...loading error...
 
Back
Top Bottom