kimbuzi
Senior Member
- Jul 31, 2013
- 153
- 54
Habari wanajamvi,
Naongea kwa masikitiko makubwa sana na naombeni msinihukumu bali mnipe msaada wa mawazo ni hivi nina girlfriend wangu tulikuwa tunaishi wote Dsm yeye akiwa kwao na mimi nikiwa kwangu tulikuwa tunapendana sana sababu wote tulimaliza chuo mwaka mmoja sasa akapata kazi moro toka ameondoka mawasiliano yakawa ya shida sms anachlewa kujibu ukimmuliza anadai yuko busy na kazi mara nyingine hata simu hapokei mimi nikadhani labda ni issue za kazi lakini cha kushangaza hatawikend pia mawasiliano bado niyashida nikajikaza mtoto wa kiume kwa muda kama 2 months hivi, nikaona nimmulize kulikoni akasema hakuna tatizo nikamuomba ajirekebishe sababu I believe long distance without concrete communications ni majanga... anabadilika siku mbili tatu then anarudi mulemule nimemuomba tuachane ili atleast nitafute ustaarabu mwingine bado hataki ila bado nampenda sana nimemwambia nataka nimuoe abadili tabia lakini bado haelewi naombeni msada wenu wa mawazo please