Ifike sehemu serikali iruhusu ndoa mikataba

Molembe

JF-Expert Member
Joined
Dec 25, 2012
Posts
9,933
Reaction score
11,865
Ndoa nyingi siku hizi ni majanga mimi naona serikali ifike sehemu iruhusu ndoa mikataba kuanzia mwaka mmoja ili kuepusha misururu ya kudai talaka mahakamani, maana hali inazidi kuwa mbaya huko mahakamani mafile mengi ni ya talaka na sijui tunaelekea wapi,
Nawashangaa mabinti wanalalamika humu kwamba wanataka ndoa najiuliza hivi ndoa za siku wanazijua kweli na chanzo kikubwa cha kuvunjika ndoa ni wanawake maana wao wakichepuka akili yote inahamia kwa mchepuko tofauti na sisi wanaume hatuisahau njia kuu ingawaje na sisi wanaume tunaendekeza michepuko isiyo ya lazima hadi kupelekea kuvunja ndoa zetu suluhisho la yote ni ndoa ya mkataba ihusike.
 
  • Thanks
Reactions: Luv
sidhani kama kuolewa ni lazima... nsi wanawake ndio sababu.... akili za wanaoingia wengi ni influence za watu... kutaka kuoneka kwenye jamii na yeye kaolewa........kulazimisha ndoa na kutegesha mimba ili uolewe...... mapenzi amna kabisa watu wanaangalia status wakati akili na kiroho pia hawapo tayari...
 
ulikuwa wapi kutoa maoni yako kwenye rasimu ya katiba kabla haijaandaliwa kipindi kile jaji warioba alivyoukuwa anatembelea kilakona ya nchii hii?

halafu wewe unataka serikali iingilie kati kuweka mikataba kwani nani amekwambia ndoa ni ya kimkataba?ndoa upangwa na Mungu hivyo huna budi kumwambia Mungu aweke mkataba na sheria katika ndoa sio serikali

Ndoa nyingi siku hizi ni majanga mimi naona serikali ifike sehemu iruhusu ndoa mikataba kuanzia mwaka mmoja ili kuepusha misururu ya kudai talaka mahakamani, maana hali inazidi kuwa mbaya huko mahakamani mafile mengi ni ya talaka na sijui tunaelekea wapi,
Nawashangaa mabinti wanalalamika humu kwamba wanataka ndoa najiuliza hivi ndoa za siku wanazijua kweli na chanzo kikubwa cha kuvunjika ndoa ni wanawake maana wao wakichepuka akili yote inahamia kwa mchepuko tofauti na sisi wanaume hatuisahau njia kuu ingawaje na sisi wanaume tunaendekeza michepuko isiyo ya lazima hadi kupelekea kuvunja ndoa zetu suluhisho la yote ni ndoa ya mkataba ihusike.
 
umenigusa bestito
sidhani kama kuolewa ni lazima... nas i wanawake ndio sababu.... akili za wanaoingia wengi ni influence za watu... kutaa kuoneka kwenye jamii na yeye kaolewa........kulazimisha ndoa na kutegesha mimba ili uolewe...... mapenzi amna kabisa watu wanaangalia status wakati akili na kiroho pia hawapo tayari
 
Molembe we umeoa!!!!!!!!!!

Sijaona mke wa kuoa miaka hii wanawake wameharibiwa na thamthilia za kizungu wanaigiza mpaka mapenzi cha muhimu kwa sasa ni kuwa na hata mmoja ndoa baadae sitaki stress
 
Last edited by a moderator:
Sijaona mke wa kuoa miaka hii wanawake wameharibiwa na thamthilia za kizungu wanaigiza mpaka mapenzi cha muhimu kwa sasa ni kuwa na hata mmoja ndoa baadae sitaki stress
mzuri uamuzi wako
 
Sijaona mke wa kuoa miaka hii wanawake wameharibiwa na thamthilia za kizungu wanaigiza mpaka mapenzi cha muhimu kwa sasa ni kuwa na hata mmoja ndoa baadae sitaki stress

Ha ha ha don't fool urself hawa wanawake wa sasa ndo hao hao wa baadae
Wewe tumia uache ukisema hutaki stress na utakayemuoa atakuwa katumika na mwingine afu kaachwa
 
Watu waoga...kama hata Kim kaolewa ...

Kama pesa anayo...

Kama dushelele angepata pindi atakapo...

Jiulize kaolewa kwa nini?
 
Sijaona mke wa kuoa miaka hii wanawake wameharibiwa na thamthilia za kizungu wanaigiza mpaka mapenzi cha muhimu kwa sasa ni kuwa na hata mmoja ndoa baadae sitaki stress

ukiwa tayari unishtue..................
 
Ndoa nyingi siku hizi ni majanga mimi naona serikali ifike sehemu iruhusu ndoa mikataba kuanzia mwaka mmoja ili kuepusha misururu ya kudai talaka mahakamani, maana hali inazidi kuwa mbaya huko mahakamani mafile mengi ni ya talaka na sijui tunaelekea wapi,
Nawashangaa mabinti wanalalamika humu kwamba wanataka ndoa najiuliza hivi ndoa za siku wanazijua kweli na chanzo kikubwa cha kuvunjika ndoa ni wanawake maana wao wakichepuka akili yote inahamia kwa mchepuko tofauti na sisi wanaume hatuisahau njia kuu ingawaje na sisi wanaume tunaendekeza michepuko isiyo ya lazima hadi kupelekea kuvunja ndoa zetu suluhisho la yote ni ndoa ya mkataba ihusike.

Heheheeee hii wanaume ndio watachekelea...Coz wao watakachokijua ni kubadilisha tuu wakiona mwanamke kashaanza kuchoka, kukongoroka kama kamzalisha anakimbia..

Je ndoa hiyo itakuwa na mkataba pia kwa watoto au Wanaume wakiTanzania watakuwa wakimaliza mkataba na wewe mtoto anaachiwa Mama ?
 
Back
Top Bottom