Anasema anatupenda wote

Anasema anatupenda wote

kamati

JF-Expert Member
Joined
Mar 20, 2013
Posts
240
Reaction score
109
Ndugu wana JF msaada wenu wa mawazo unahitajika, kuna binti mmoja nimetokea kupendana nae lakini kwa mujibu wa yeye alivyonieleza baada ya kukaa nae muda mrefu aliniambia ya kuwa alikuwa na mchumba wake ambae tayari alishajitambulisha kwao sasa tangu ajitambulishe leo mwezi wa 7 yule jamaa hahitaji mawasiliano wala nini sasa siku moja binti akampigia simu jamaa akamjibu maneno ya ovyo sasa hiyo ikamuumiza binti nakuamua kuwa na mimi sasa leo nikamuuliza hivi ikitokea jamaa akarudi kukuomba msamaha utamfikiriaje akasema et atamsamehe warudiane sasa ndugu zanguni mi nifanyeje naile hali tulikuwa tumeshakuwa wachumba na nilikuwa namhudumia matumizi madogo madogo nikimwambia kuhusu kujitamburisha kwao hataki anasema eti nisubiri.
Wana jf je kuna makosa hapo nikiamua kuachana nae?
 
mhhhhhhhh kusoma hujui hata picha huoni kamati
 
Last edited by a moderator:
Anataka ukajitambulishe wakat ww unataka kujitamburisha.
 
Simamisha na matumizi madogo madogo mpaka kielweke,

Angalia na wewe usije ukawa daraja, kumbe mtu ana malengo na dushelele nyingine kabisa maishani mwake..

mkuu kumbuka mapenzi ni chanzo cha vifo vingi sana hapa mitaani kwetu!

551218_372145982856386_88593027_n.jpg
 
Siamini huyu naye anatafta ushauri, naona JF mmeifanya kijiwe cha kuwapumbaza akili maana kitu ni very straight forward hiki, hakihitaji ushauri kabisa unless wewe ni mwanaume ambaye utapata tabu sana maishani mwako huko mbele kwa kuendeshwa na wanawake ovyo ovyo, yani hujui right from wrong, truth from lie, right from left, na maisha yako yanaendeshwa na tamthilia sio reality.. Pole sana mtanzania
 
ndugu yangu m2 akizama kwenye dimbwi la mapenzi hajui alitendalo ndio maana nikaomba ushaur ndugu
 
Simamisha na matumizi madogo madogo mpaka kielweke,

Angalia na wewe usije ukawa daraja, kumbe mtu ana malengo na dushelele nyingine kabisa maishani mwake..

mkuu kumbuka mapenzi ni chanzo cha vifo vingi sana hapa mitaani kwetu!

551218_372145982856386_88593027_n.jpg

mhhh yamenikuta najuta kupenda
 
Unless kama unapenda kushea baki,otherwise pack ur stuff and be on ur way
 
Endelea nae ili umfariji kwa kipindi hiki cha mpito mpaka pale watakaporudiana na ampendae,usimuache atakuacha mwenyewe!
 
Umekaa kama kamati kabla ya kuandika uzi huu? Hebu usome kwanza afu utufikirie sie washaur tusemeje.
 
Back
Top Bottom