Wana jamvi, nikiwa kama mwanajamvi na aghalabu kidogo nimekula kula chumvi naona ni vyema kile ninachokijua hasa nishirikiane na watu wengine, kwa mantiki hiyo na kuweka maanani kuwa wengi...
Binti kamaliza chuo kikuu,akapata ujauzito wa boyfriend wake .kaka mwenye mimba alienda kujitambulisha kwao lakin kutokana na tofauti ya dini hawakufikia muafaka..lakin tangu mimba ina miez mitatu...
kuna maneno kuwa wakati unafanya tendo la ndoa inabidi uwe una mfokea mwanamke na pengine kumtukana kidogo kama ishara ya kuongeza manjonjo,ikiwa ni pamoja na kumpiga mkwara kwa maneno mfano...
Hivi kwa hali ya kawaida utajisikiaje{mwanaume} kumwona dada yako yupo nusu uchi akiwa baa na shemeji yako?
Hebu na nyie wanawake hebu fungukeni huwa mnajisikiaje mnapo kuwa barabarani na umevaa...
Habari zenu wapendwa,
Leo nimekuja kutafuta ushauri kwa ajili ya shost wangu. Huyu bibie alikua na boyfriend wake tangu chuo, walidumu miaka mitatu na wakapata kabeby.
Wakijiandaa kuoana kidume...
Wadau kuna friend wangu anatafuta boyfriend
yeye ana umri wa miaka 21
Sio bonge mrefu wastani
Na pia ni rangi maji ya kunde
Anae muhitaji awe ana
Umri kati ya 21 adi 23
Asiwe mfupi...
Habari,
Hivi mashostito na mabestito mkikerwa na wenza/wapenzi/waume zenu mnachukua hatua gani?Una keti na kumueleza mwenza wako juu ya kero yako?Unatumia ishara kama kununa,kususa,kuzira au ndo...
Ni jambo la ajabu sana watu wengi wanaogopa kupima.Kupima kunasaidia mambo mengi maana mtu ukisha jua tayari unavyo inakuwa rahisi kudhibiti madhara zaidi .Jamani MSIOGOPE KUPIMA maana kama...
Amini usiamini watanzania wengi hatupendi kufanya kazi.
Majuzi nilianzisha mradi na vijana wasiokuwa na kazi, ili tuunde kikundi cha kufanya kazi pamoja, nilichowaeleza vijana wale kikundi kile...
uyu mke wangu kwao alishindikana,niliambiwa mengi saana juu yake mengine nilijionea.....alikua ni mkorofi hasa ila sio ukorofi wa kipuuzi una logic...sio mtu wa kupelekwa pelekwa au...
Jamani nimeshawahi kuwa katika uhusiano mwaka uliopita na mvulana mmoja ambaye nilimpenda sana , Lakini kuna siku aliniazima simu yake ndipo nilipoziona meseji ambazo alikuwa anachat na ex gel...
Wadau kuna hili jambo ambalo nahisi ni kujidharirisha. Utakuta bi dada ana kwao na maisha ni mazuri tu, lakini mara baada ya kumpata kaka wakatafunana, ghafla anahamia kwa jamaa...
WanaJF naombeni Msaada;
In short nina shemeji yangu ameolewa na wamejaaliwa mtotto mmoja katika ndoa yao! Shemeji yangu huyo tayari ameshatembea na boy friends wa wadogo zake zaidi ya 6...
JAMIIFORUM hususan watu wangu wa nguvu wana MMU napenda kuwataarifu kwamba tarehe tano june miaka mingi iliyopita ndio tarehe niliyozaliwa.
so nachukua nafasi hii kumshukuru mungu kwa kuiteua...
. During the day, she will give your hair the most refined look, albeit in a makeshift saloon, but when night falls across
Gaborone, Debra Ncube (not her real name) exchanges sex for money...
Nilikuwa some where baada ya kazi napata kinywaji na chakula pembeni yangu walikaa wasichana wanadscuss bout men.
But wote walichokuwa wanachangia ni mwanaume sahihi.
PERFECT men wa kuishi...
Wadau wajamvi hili..
Naona huku maeneo ya Kazkazini (Kilimanjaro, Arusha na Manyara)
Baridi ndiyo imeanza kushika kasi. Tokea jumapili hali ni yabaridi sana...
Swali, je! Mapenzi yanaweza...
HABARI ZENU NDUGU ZANGU WA HUMU NDANI,
Ni mara ya kwanza kupost humu ndani ,wanaume ni changamoto,iko hivi:-
Kwanza namshukuru Mungu sijawahi kutendwa hata siku moja,ila...
VAA VIATU KUWA NI WEWE.
Unae mpenzi wako,
Unampenda balaa na unaamini anakupenda pia kwani anathibitisha kwa vitendo haswaa.
Siku moja wewe, shetani kakupitia na umelazimika 'kuchepuka'.
Baada ya...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.