Mchumba wangu amapenda kujichubua

Mchumba wangu amapenda kujichubua

TATA PANYA

Member
Joined
Jul 26, 2013
Posts
54
Reaction score
8
Nilikuwa masomoni na nilimuacha mpenzi wangu akiwa na uzuri wa asili (black beauty) lakini nilivyorudi mambo tofauti amekuwa mweupe ajabu, zaidi zaidi ukimvua nguo ndio shida, hata hamu ya kufanya naye sex inapotea kabisa,nimemweleza suala hilo ananiambia vitu ambavyo havieleweki eti mafuta yanamwathiri!

Hebu nipeni ushauri jamani maani siipendi hiyo hali, hata hamu ya kuwa naye sina kabisa!!
 
Mwambie asipoacha hiyo tabia utamuwacha na utatafuta kibao kingine kisichojichua
 
wanawake wa mjini weeengi tunajikalolaitisha sijui ukisema umuache utabadili wangap
 
wanawake wa mjini weeengi tunajikalolaitisha sijui ukisema umuache utabadili wangap

Sio kweli wapo wanaotumia mafuta ya nazi tu, mkuu piga chini mi siweze hata kumpiga busu dem anayejichubua lol
 
Usimuache ila mwambie aache kutumia hizo lotion zake zinazomchubua
 
kabla hujaamua lolote baya juu yake kaa nae chini umwambie jinsi gani anapendeza akiwa na rangi yake asili.kisha mwambie unapenda aweje..mwelekeze madhala ya kujichubua..mnunulie mafuta ambayo hayana chemical na hatamdhulu.kama ni mwelewa ataacha vinginevyo magonjwa ya ngoz yatamuhusu.....
 
we unachofata papuchi au rangi ya ngozi, hebu jitwangie nyuchi hiyo acha kumsumbua binti wa watu!
 
je kama kawa mzuri zaid?

ha ha dada mzuri mkorogo kwa kweli unawaharibu tu, vioo vinawadanganya sana. Na tatizo moja kubwa huwa mnaulizana wenyewe na mashoga zako wanakuambia umependeza. Wanawake huwa hamuambiani ukweli hata siku moja.
 
Achana nae huyo,mtu anayekwambia wanawake wengi wanajichubua mjini anakuingiza chaka.
 
Na wewe ni "xhida" hata "akikuereza"
 
Huyo alikua anatumia mkorogo wa beii rahisii aisee amewaiga wakina sinta! Ndo basi tena piga chiiini
 
Back
Top Bottom