Ni kama mara ya tatu namwona; anaimba vizuri , anacheza vizuri, anavaa mavazi ya heshima, ni mzuri wa wastani, kiukweli ananivutia sana.
Nitadondoshaje ngeli sasa kwa watu wanaomsifu Mungu kama hawa? Nijiunge na kwaya ama nimfizie wakati anatoka kanisani? Nipeni ushauri wandugu.