Habari zenu wadau,
Mimi nlikuwa na mpenzi wangu ambaye tuliweza kuwa katika mahusiano kwa muda wa miaka mitatu mpaka tukafikia hatua ya kutambulishana ila cha kushangaza baada utambulisho huo...
kuna uwezekano nika grant independence soon colone libaki wazi...my baby mama anapiga mizinga mpaka napata wasiwasi before hakuwa hivi love kwake inaelekea kupotea kabisa sio kama hapo awali...
Kuna siku moja niliwahi kusoma utafiti mmoja na utafiti ule ulikuwa unaonesha kuwa baadhi ya vyakula tunavyokula nyakati hizi vinasababisha wanaume kuingia kwenye ushoga,yaani ni kwamba vyakula...
Habarini za usiku humu ndani bila shaka mko vizuri.
Kumekuwa na malalamiko mengi humu ndani kutoka kwenu wanaume, sijui niziite lawama ama nini hata sielewi lakini hamuishi kutuongelea, ati...
SOTE FAMILIA MOJA
Yakaribia jioni, 'desa' limenitibua
Mbiombio darasani, 'pepa' bandika bandua
Muhula upo mwishoni, mambo nayo yamejaa
Sote familia moja, wewe mbele sisi nyuma
Nakatiza...
..::Kazi kweli kweli::..
Niliwahi kusikia huu msemo sehemu fulani basi nikajua kila sehemu utakuwa na maana na ukiutumia utakufumbua macho na kukuonesha kilicho mbele yangu.
Kuna wakati...
napenda msichana mpole kwa sababu nahisi ni mtu mzuri na ninadhani wenzangu wengi pia wanapenda wasichana wapole ili kujiepusha na migogoro na matatizo yasiyo la lazima, ladies too wapo wanaopenda...
Mchumba mtarajiwa mshahara laki nne, mimi laki tatu, nyumba kodi ni ni 150,000+usafiri +matumizi ya vitu vidogovidogo kwa ajili ya home+maji ya kununua coz maeneo nakoishi maji kutoka ni kwa...
DEC 2007:Bado naikumbuka vizuri siku ya kwanza kukuona baada ya kusikia stori zako kwa muda mrefu tu kupitia kwa watu,MPENZI MATTHEW ulikuja nyumbani kwetu,my heart skipped a beat,nilijisikia...
Ukitaka kumvuruga mwanamke na kumuharibia siku yake kabisa, mwambie ana K kubwa, na ukitaka kumvuruga mwanaume na kumharibia siku yake kabisa mwambie ana M ndogo. Yaani wanawake wanaona fahari...
Mapenzi ya kweli yapo kwa mama yako mzazi tu
Sina upendo wa kijinga kila siku kumwaga chozi kama miaka ile ya zamani
Bali nina upendo wa kibishi demu akizingua kwangu sina mda wa kumbembeleza...
SUALA la kuoa lipo tu licha ya kwamba wapo wanaochelewa kuingia kwenye maisha hayo wakihisi inaweza kusitisha furaha ya maisha yao. Nasema hivyo kwa kuwa najua wapo wanaoamini kuoa ama kuolewa ni...
Habari zenu,naombeni ushauri kwa yaliyonikuta,mimi ni binti,nipo katika mahusiano na kijana mmoja mcheza mpira maharufu hapa Tanzania.
Mahusiano yetu sasa ni miaka mawili,nampend sana huyu kijana...
Haya ni baadhi ya Maajabu ya Kiungo hiki:
Mwenyenacho,
Akisimama -Kiko Mbele,
Akiinama -Kiko nyuma,
Akichuchumaa -Kiko Chini.
Akilala -Kiko juu.
Unajua ni kiungo gani hicho?
Maajabu zaidi...
HOW TO MAKE A MAN HAPPY
1. Feed him
2. Sleep with him
3. Leave him with peace
4. Don't check his phone (Msgs)
5. Don't bother him about his
movements
So whats so hard about that?
HOW TO...
kuna dada mmoja kaniambia sisi wanaume ni wagumu sana kwenda kupima na amemuacha jamaa yake kwa vile kakataa kwenda kupima vvu.je ni busara kumlazimisha mtu au unatakiwa umshauri?
wanaume wa jf someni hii thread,na kwa sababu muhusika yupo humu basi ujumbe wake utakuwa umemfikia. Wiki ilopita kulikuwa na kauhaba ka mafuta ambako hakakuchukua siku nyingi, nikiwa njiani...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.