Mahusiano, mapenzi, urafiki

Tubadilishane mawazo kuhusu familia, mahusiano, mapenzi, urafiki, n.k na kushauriana

On JF:

Mi ni mwanaume Mimba zangu zote ninazompa mke wangu zinatoka nahisi nimefanyiziwa na mwanamke ambaye nimewahi kutembea nae kabla sijaoa. Nifanyeje? Mimba nne zimetoka sielewi au nimelogwa...
0 Reactions
132 Replies
13K Views
Niliachwa Jumatano nilipitia maumivu yasiyoelezeka, nilijiona sina thamani ila Ninafuraha sana mda huu jioni hii kaniomba msamaha tumerudiana and I,m So Happy, ila nilikuwa naumia Sana ila uzuri...
0 Reactions
55 Replies
7K Views
Habari zenu wana MMU,, Naamin tupo pamoja! Leo napenda tujadili kidgo nione mitazamo ya wenzangu Hili swala lipoje, unakuta watu wameishi kiunyumba miaka kumi wamezaa na watoto labda wa 3 then...
0 Reactions
21 Replies
2K Views
Wakuu naombeni msiniseme hovyo.katika zunguka zangu za kimaisha nilikutana na jimama moja ambalo kiukweli lilinipenda sana.Nikalichunguza na kugundua lina mikwanja ya ukweli basi nikakubali ombi...
0 Reactions
86 Replies
9K Views
Habari Wadau wa jamii foroum, natafuta mchumba ambae atakuwa tayar kuwa na mm kwa shida na raha hadi kufikiya lengo la ndoa, niko zanzibar town, Bableyy 0777 790279
0 Reactions
25 Replies
5K Views
Habari wakuu! Ni ukweli usiopingika kuwa miaka hii ya hivi karibuni thamani ya mwanamke inazidi kupungua kama sio kushuka kabisa. Imekuwa sio jambo la ajabu tena kuyaona maungo nyeti ya mwanamke...
0 Reactions
17 Replies
3K Views
Vikuba vya asumini,kaniletea tamasha Mapenzi ya utotoni,leo kaja yakumbusha Yanamwenda midomoni,kwa furaha na bashasha Kaja omba samahani,vipi nimkatalie? Hakosi kunahibika,yuko kwangu mikononi...
0 Reactions
17 Replies
3K Views
Hello Umri wangu 29yrs, nahitaji mwanamke si mrefu wala mfupi sana, si mnene sana ni wastani umri kuanzia 20-27. Awe muajiriwa au kajiajiri
0 Reactions
7 Replies
2K Views
'I was constantly paranoid I'd be found out!' Transgender lingerie model Geena Rocero reveals why she finally told the world she was born a boy Miss Rocero was born in the Philippines and moved...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
MWANADADA aliyefahamika kwa jina moja la Mbuva, mkazi wa Gongo la Mboto jijini Dar, hivi karibuni amejikuta akiharibiwa uso wake kwa kumwagiwa mafuta ya moto na shosti wake aitwaye Mama Sofia...
0 Reactions
32 Replies
6K Views
Ndugu zanguni tuwapende wazazi tusiwadharau ata kidogo midaa ya saa nne mama yangu mzazi kanusurika na majambazi kwa ajili yetu .tuwaheshimu wazazi tuwapende siamini mwenzenu mpaka mida hii kama...
1 Reactions
12 Replies
2K Views
Watu wengi wamekuwa wakiwahusisha watu kutoka mikoa flani flani hapa tz na tabia ya uzinzi,sasa wakuu je ni Kweli Kuna uhusiano wowote Kati ya Tabia na kabila???
0 Reactions
12 Replies
2K Views
Mimi Ni Mdada, Mtanashati, Makini, Mwenye Tabia Njema, Mwenye Msimamo na Mtazamo Chanya wa Maisha! Ukiwa na Sifa Hizi zifuatazo ni PM. Seriously Candidates Only! 1; Single 2; Rangi- Maji ya...
6 Reactions
131 Replies
18K Views
Anyeonghaseyo! Hili swala la wana MMU hususani wanaume kujikosha kosha humu single mothers hiki, single mothers kile as if WABABA WOTE HUSUSANI AFRICA HUMU NI MFANO WA KUIGWA SANAAAAAA KWENYE...
15 Reactions
215 Replies
15K Views
Mwanamke anakunywa pombe analewa yaani mpaka akiongea anaburuza maneno hata aeleweki, kwa kweli hata kama mzurije unajishusha kabisa. Kunywa kidogo basi ukiona inatosha aanza kunywa maji. Yaani...
4 Reactions
66 Replies
5K Views
August 18, 2014 8:30 asb Stori: Dustan Shekidele, Morogoro My God! Mke wa mtu, Mwajuma Prima amelazwa Hospitali ya Mkoa wa Morogoro baada ya kumwagiwa mwilini sufuria la maharage yalitokuwa...
0 Reactions
3 Replies
2K Views
Habari zenu humu ndani. Natafuta mchumba awe gentleman,msomi wa chuo kikuu,mkristo mwenye hofu ya Mungu,mchapa kazi yani asiwe mvivu,awe wa kimo chochote lakini ariwe mfupì sana na atakae kuwa...
0 Reactions
43 Replies
4K Views
Kuna mwalimu wangu mmoja alikuwa anausemi wake kuwa ni vizuri uiache akili yako ifanye kazi yake na sio nafsi ifanye kazi ya akili, Kiukweli nimejitahidi kuufanyia kazi huu usemi katika maisha...
0 Reactions
17 Replies
2K Views
Habari za jioni mabibi na mabwana katika jukwaa hili? Naomba tujadili changamoto zitokanazo na kuishi na ndugu wa mume/mke, watoto wa kambo katika familia. Hii imekuwa changamoto hasa kwa...
12 Reactions
206 Replies
17K Views
Je! Ndoa ni utwamwa? Nini chanzo cha yote haya? Jana usiku nikiwa na jamaa yangu, ilinilazimu nipite kwake kuna ka mzigo kangu kaliachwa kwake. Kabla hatujaingia ndani aliniambia subiri kwanza...
3 Reactions
40 Replies
5K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…