Unaharibu uzuri wako

Unaharibu uzuri wako

benteke

JF-Expert Member
Joined
Apr 3, 2014
Posts
1,305
Reaction score
1,069
Mwanamke anakunywa pombe analewa yaani mpaka akiongea anaburuza maneno hata aeleweki, kwa kweli hata kama mzurije unajishusha kabisa.

Kunywa kidogo basi ukiona inatosha aanza kunywa maji. Yaani imefikia wakati eti mwanamke anamarafiki wa kiume wa kwenda bar kunywa pombe na huko bar anashindana na wanaume kunywa, mnaweza kusema mbona wanaume wanalewa.

Ni mwanaume na kamwe hawezi kua mwanamke. Hebu badilika basi mnajizeesha, unakutana na mdada utasema ana redeyes kumbe ni pombe ndo zimemwaribu.

Hata ngozi nayo inakakamaa, wakati mwingine mnazingizia vipodozi havijawapenda kumbe ni pombe.

Samahanini sana kama mtachukia.
 
benteke unautani wa ngumi wewe.... hivi kuna kitu kitamu huku kuduniai kuzidi pombe? embu niambie mzee wa kamba.... umeongea ukweli kidogo
 
benteke unautani wa ngumi wewe.... hivi kuna kitu kitamu huku kuduniai kuzidi pombe? embu niambie mzee wa kamba.... umeongea ukweli kidogo

hahaha.... kweli pombe tamu ila aishindi papuchi.... ni ukweli kabisa yaani nasikiaga hasira sana. mwanamke amelewa lakini bado analazimisha tu kunywa pombe. sijui siku izi mapozi yamepoteleawapi... unamkuta mdada mzuriii lakini ngoja sasa aanze kunywa..
 
Theory nyingiiiiiii....

So men should drink immoderately, there's no problem???
 
benteke well said wadada waina hiyo wapo mtu anakunywa pombe utafikiri anakunywa juice lol akitoka hapo ajielewe na ndio maana mda mwingine wanafanyiwa mambo ya ajabu.
Kwanini usinywe kwa afya tu pia inatosha
 
Last edited by a moderator:
Mtuwache tunywe bia zishuke khaaaaaaa! Kunywa mnywe nyie tukinywa sie mineno inawatoka double double!
 
hahaha.... kweli pombe tamu ila aishindi papuchi.... ni ukweli kabisa yaani nasikiaga hasira sana. mwanamke amelewa lakini bado analazimisha tu kunywa pombe. sijui siku izi mapozi yamepoteleawapi... unamkuta mdada mzuriii lakini ngoja sasa aanze kunywa..

pombe raha uchangamke kidogo uwe mwenyekiti wa meza kila kitu unakijua,.... ukiona anakunywa hivyo mbele za watu anabalaaa.... kuna siku mtu unakuaga na hamu ya kulewa ni9 bora kuingia chumbun na chupa zako kadhaaa unajiwekea dripu kabisa acha kabisa unakunywa unazima unalala mpaka iishe unaamka unaendelea mpaka kesho yake unahisi kuumwa kumbe ni pombe.... pombe tamu jamani papuchi eka pembeni
 
Sasa hapo ile habari ya kusukuma mlevi ndipo inaporasimishwa!
 
hahahahahahahhaaa..kwa hiyo mtu anashindana na mwanaume,mwanamke anakata kitu mbuyu au banana afu hali chakula chakutosha inafikia mahali hata mafuta hayanati tena na mwili....
 
Sisemi wanaume wanatakiwa kunywa ila mwanamke kulewa kwa kweli haipendezi
 
Jamani mtuwache tudevere.........kwani nini bana.......

taratibu sio mbaya...sasa wewe kuanzia saa nane mpaka sita usiku uko kikaoni, kunywa kiasi angalau tu bia twako tunne basi endelea na maji.
 
taratibu sio mbaya...sasa wewe kuanzia saa nane mpaka sita usiku uko kikaoni, kunywa kiasi angalau tu bia twako tunne basi endelea na maji.

Na nikinywa Saint Anna je........?
 
Theory nyingiiiiiii....

So men should drink immoderately, there's no problem???

[MENTION]ONTARIO [/MENTION] mwanamke ni mwanamke tu. Ingawa sisime waaume walewe chakari.
 
Na nikinywa Saint Anna je........?

Preta haijalishi ni aina ipi, cha muimu ni kujua kipimo..ebu fikiri mwanamke yuko bar kalewa chakari hata maneno mengine huuelewi anaongea nini. Kunywa ile ya kuchangamka.
 
Last edited by a moderator:
Sisemi wanaume wanatakiwa kunywa ila mwanamke kulewa kwa kweli haipendezi


Unadhani kuna mtu anapenda kulewa???
All starts from a single cup, then a bottle finally a crate.
Only a person deceiving him/herself will say "im only going for a single cup".
 
Mtuwache tunywe bia zishuke khaaaaaaa! Kunywa mnywe nyie tukinywa sie mineno inawatoka double double!

lara 1 kunywa lakini usilewe mpaka kila mwanaume aliyekuzunguka ukamuona handsome same pia wanaume tunywe lakin sio mpaka inapitiliza mpaka kila demu aliyeko bar tunatongoza. Kuna mtu anaweza akakuheshimu kabla hujanywa na baada tu ya kunywa kupitiliza ,ukianza vituko tu anasepa.
 
Last edited by a moderator:

Similar Discussions

Back
Top Bottom