Mkubwa lengo lako jema lakini hapa si mahala pake, ungetupia kule jukwaa la MMU.
Hapana, jukwaa husika ni love connect.
Mkubwa lengo lako jema lakini hapa si mahala pake, ungetupia kule jukwaa la MMU.
mkuu kama hujui kusoma hata picha huoni?mbona munakuaga na maneno ya kebehi namna hii
Ndugu msomi, uwe na ustaarabu japo kidogo, wakati namjibu huyo mleta mada bado mada yake ilikuwa kule jukwaa la Complaints, Congrats & Adivice ila kwa kuwa imeshaletwa huku mmu sina tena neno. Nashukuru sana ndugu msomi, yangu ni hayo.