Thamani ya mwanamke inashuka kadri siku zinavyoenda

KikulachoChako

JF-Expert Member
Joined
Jul 21, 2013
Posts
20,154
Reaction score
40,946
Habari wakuu!

Ni ukweli usiopingika kuwa miaka hii ya hivi karibuni thamani ya mwanamke inazidi kupungua kama sio kushuka kabisa.

Imekuwa sio jambo la ajabu tena kuyaona maungo nyeti ya mwanamke kama mapaja, kiuno, na wakati mwingine mpaka mbunye
vitu ambavyo zamani vilikuwa vinashuhudiwa na wanandoa.

Kwa miaka hii hakuna atakayeshtuka kuona picha ya mwanamke akiwa uchi wa mnyama iwe kwenye mitandao ya kijamii au live. Haya ni baadhi ya mambo yanayofanya thamani ya mwanamke izidi kupungua...
 
Kila zama na kitabu chake! Ni angalabu kumwona mtu akiishi life style ya 40's wakati zama hizo zimekwishapita mia mingi iliyopita! Muhimu ni kutumia fursa hii kufanya yako na yale yasiyokuhusu kuyaacha yapite Kando! Mimi binafsi nadhani kuwa thamani ya wanawake imepanda zaidi ya zama zile ambazo mwanamke alikuwa second in command kwenye kila jambo!
 
NO NO ! huo ni udhalilishaji kwa sababu wanaume wengi nao hujihusisha na USHOGA ! (hapo maadili yana mix hisia)
 
Inapungua au inabadilika ? Zamani mwanamke ni physical tu...siku hizi brain zina thamani...hata kama sio mzuri sana but ana akili thamani yake huongezeka..

inapungua mkuu....miaka ya nyuma mwanamke alikuwa anachukuliwa kama ua pambo fulani lenye kupendeza mbele ya mwanamume..
lakini miaka hii mwanamke amekuwa chombo cha starehe tu...
 
Inapungua au inabadilika ? Zamani mwanamke ni physical tu...siku hizi brain zina thamani...hata kama sio mzuri sana but ana akili thamani yake huongezeka..

Ye mwache aendelee kuangalia uzuri wa sura.
 
Inapungua au inabadilika ? Zamani mwanamke ni physical tu...siku hizi brain zina thamani...hata kama sio mzuri sana but ana akili thamani yake huongezeka..
siku hizi hamna mambo hayo ya mapenzi tena watu wanalenga akili tu kwa mwanamke
 
mkuu mwanamke unamtongoza na kujifanya upo real,kumbe ishu upate hizo picha kumbe mtoto wa watu kashawishika kweli mpaka anakutumia ili umpende zaidi,tatizo wanaume hawana huruma wakizinguana anavujisha,hao wanaofanya ili wajulikane kweli heshima yao inashuka je wale wahanga ambao walifanya kiroho safi kuwaridhisha wapenzi wao?usiwalaumu wote mkuu maana mitaani kuna watoto wanajiheshimu mpaka ukitaka kumtongoza unajiuliza uanzie wapi sio wale wa kuwapigia pssy halafu unamwambia twende gheto tukaangalie movie
 
Habari wakuu!

Ni ukweli usiopingika kuwa miaka hii ya hivi karibuni thamani ya mwanamke inazidi kupungua kama sio kushuka kabisa.

Imekuwa sio jambo la ajabu tena kuyaona maungo nyeti ya mwanamke kama mapaja, kiuno, na wakati mwingine mpaka mbunye
vitu ambavyo zamani vilikuwa vinashuhudiwa na wanandoa.

Kwa miaka hii hakuna atakayeshtuka kuona picha ya mwanamke akiwa uchi wa mnyama iwe kwenye mitandao ya kijamii au live. Haya ni baadhi ya mambo yanayofanya thamani ya mwanamke izidi kupungua...

Hivi sababu ni utandawazi au badiliko ya hali ya hewa na tabia nchi ndio zinazowafanya wanawake wengi wakae uchi uchi na kuvaa nusu uchi uchi?
 
Thamani ya mwanamke imeshuka kwa sababu kuna wanawake wanatembea nusu uchi barabarani? U can't be siriaz..... Zamani mwanamke alikuwa mtu wa jikoni, kuzaa na kulea watoto na kusubiria kuletewa kila kitu na mume...lakini siku hizi wanawake wanashiriki kwenye shughuli za kiuchumi,wanalea familia,wanasomesha na bado nafasi yao ya house keeping uzazi na ulezi iko palepale....hayo huyaoni umesimamia minor point ya wale wanaoonesha mapaja bararani???? Tuseme thamani ya mwanaume ndo imepungua sanaaa....maana majukumu waliyokuwa wanayafanya wanaume peke yao siku hizi wanasaidiwa....na wengine ndo wameamua kulelewa kabisa....yaani aliyekuwa analea siku hizi analelewa na aliyekuwa analelewa siku hizi analea.....hivi nani amepanda na nani ameshuka hapo??? Jipange upya
 
thamani yako inashuka kadri umri unavyoongezeka...
 
Kwa hiyo unamaanisha binti wa miaka nane ana thamani kuliko mimi? Na mimi nina thamani kuliko mama yako aliyekuzaa si ndio maana yake? Hizi bange muwe mnavuta muda mnaoenda kulala
 
Mbaya zaidi wengi wao sio wote , narudia tena sio wote wamesahau kabisa neno HAPANA
 
Thamani ya m/ke inashuka??? Mbona skuelewi...
Mi nahisi we've got the best women at this epoch...
Women who nvr wait for a guy to tell her wat not to do...
Women who make own cash $ spends it wisely...
Women who are confident $ dont seek for approval...
Their intelligent is their best feature, not for consolation...
Knows how to dress in newest fashions,nadhifu wakati wote...
Women who inspire to be better, and do e/thing to make it happen....
Women who hv attitude $ uses it only wen needed, anaeza kumkosha mamaa ndani ya dakika 5...
Her words her weapon, her dids her real life.

Achana na hao w/ke wanaowaza kungonoka tu, kudress ½ naked, kuweka makeups with icescreem scoop only to drive boys wild... hao ni lile kundi la desperate women.
 
Sema wewe mwayaa....amekosa cha kuandika huyu. Kwa vile ameshaona wimbo wa taifa la MMU ni kukashfu wanawake basi ameamua kuingia kichwa kichwa bila kuzingatia step...
 
Back
Top Bottom