Serious: nahitaji mwanamke wa kiislam wa kuoa

Serious: nahitaji mwanamke wa kiislam wa kuoa

misasa

JF-Expert Member
Joined
Feb 5, 2014
Posts
17,572
Reaction score
14,090
Hello
Umri wangu 29yrs, nahitaji mwanamke si mrefu wala mfupi sana, si mnene sana ni wastani umri kuanzia 20-27.

Awe muajiriwa au kajiajiri
 
Hello
Umri wangu 29yrs, nahitaji mwanamke si mrefu wala mfupi sana, si mnene sana ni wastani umri kuanzia 20-27.

Awe muajiriwa au kajiajiri

weka namba ya cm ndo rahisi tena faster mke ushampata.
 
kwa nia yako utafanikiwa, basi muvumiliane na kuheshimiana kwani safari ni ndefu. Mabrook in advance.
 
Sasa umeweka unavyotaka wewe mbona na wewe hukuweka ulivyo? na wewe pia simrefu wana simfupi sanaa eeh? small style.......
 
Back
Top Bottom