Wanaume changamkieni tenda hapa

Wanaume changamkieni tenda hapa

bitunyi

Member
Joined
May 20, 2014
Posts
38
Reaction score
4
Habari zenu humu ndani.

Natafuta mchumba awe gentleman,msomi wa chuo kikuu,mkristo mwenye hofu ya Mungu,mchapa kazi yani asiwe mvivu,awe wa kimo chochote lakini ariwe mfupì sana na atakae kuwa serious nami na awe single mana sitaki kushare na mtu.

Mimi ni msomi wa chuo kikuu,mnene kiasì,mrefu kawaida na nina rangi yangu ya hasiri,rangi ya chocolate.

Tunaweza kuwa marafiki tukilidhiana ndo tuingie kwenye stage ya uchumba.

Kwa atakae kua tayari ani PM asanteni
 
Heeeee makubwa aya msomi wa chuo kikuu kwan kuna wengine ni wasomi sio wa chuo kukuu???
 
Mmmmmmmhhhh mi napta tuu maana mi elimu yang 7
 
Hivi kwa nini asilimia 90 ya id zinazotafuta wachumba huwa ni ngeni?
 
Habari zenu humu ndani.Natafuta mchumba awe gentleman,msomi wa chuo kikuu,mkristo mwenye hofu ya Mungu,mchapa kazi yani asiwe mvivu,awe wa kimo chochote lakini ariwe mfupì sana na atakae kuwa serious nami na awe single mana sitaki kushare na mtu. Mimi ni msomi wa chuo kikuu,mnene kiasì,mrefu kawaida na nina rangi yangu ya hasiri,rangi ya chocolate.Tunaweza kua marafiki tukilidhiana ndo tuingie kwenye stage ya uchumba.Kwa atakae kua tayari ani PM asanteni

Mchapa kazi, yaani asiwe mvivu.
Hapo sijaelewa aina ya kazi unayomaanisha asiwe mvivu kuichapa
 
Unene kiasi ndio upi? Reference ni ipi? Maana hata asha boko nae anajiona kimbau mbau!! Unene wako kama wa Rihamma?
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom