Heshima kwenu wanajamvi,
Kwa kawaida kila binadamu kuna vitu anavyovipenda na asivyovipenda mfano tukiongelea aina za magari mwingine anaweza sema napenda Rav4,Vitz au Spacio wakati mtu...
Leo bwana ktk pitapita zangu nikaenda dispensary moja hivi mitaa ya om,sas nikiwa nimekaa pale akaja mkaka mmoja hivi na mabandej usoni akakaa karibu yang kumuona vile nikampa pole...
jamani wanawake siku hizi wamekuja juu kama moto wa kifuu. Bidada mmoja kaenda mkoa kufuatilia swala la kazi na huo mkoa hana mwenyeji shoga alitagemea mtu wa kampuni atakuja stendi kumchkua wapi...
Wapendwa wa MMU hamjambo natanguliza shukurani kwenu.
Naomba msaada juyahili, coz ilivyo siku hizi ndoa ni kitu cha kupita tu tofauti na zamani.
Kwahiyo ninini cha kufanya na kuzingatia ili...
Kwanza kabisa natanguliza samahani kwa mhusika kama yumo humu JF maana nimeona niiseme ili hasirudie na nyie wenzangu mmshauri coz nimeona anasmart phone( Samsung S2 nyeupe) sijui ndo katoka...
Hivi sasa imebainika kwamba, wale wasichana ambao huendelea kuwa na ubikra wao hadi ukubwani, wanajiamini sana ukilinganisha na wale ambao huondolewa ubikra mapema. Hii ina maana kuwa,wasichana...
Nahitaji kupewa thamani kama mume kutoka wake!
Nikimpigia simu asiongee na mm huku akiendelea kuongea na waliokaribu nae kwakuwa Mimi huwa sifanyi hivo!
Tukimaliza kuongea tuagane vzr na siyo...
Hili nimelishuhudia, baada ya kumpa nafasi ya kupata elimu ya utaalamu na kupata ajira,wasomeshaji hupigwa chini, na bibie kujichanganya mbele kwa mbele
Siku 1 nilikuwa nasafiri kutoka dar kwenda arusha. Kwa bahati nilikaa siti 1 na mdada m1 hivi mrembo, yule sister alikaa upande wa dirishani halafu mkononi alikuwa ameshika kitabu kilichokuwa na...
katika pitapita zangu katika maandiko ya kijamii na historia. Nimekuja kubaini chanzo cha shela jeupe kwa wanawake wakati wa kufunga ndoa ni kuonyesha upya wake mbele ya jamii yaani hajaguswa na...
Hallo.
Habari wakuu
Nina rafiki yangu wa kike ambae tumezoeana sana kiasi kwamba watu wengi wana amini kuwa ni mpenzi wangu, kwa sababu tunatumia muda mwingi sana pamoja sanasana siku za...
Jamani nipo hapa kivulini, nashitua nyongo na bapa yangu. Nimemwambia wife aje hapa walau anipe company na lakini jimama moja sijui la wapi limekuja na glass kugongea bapa.
Hivi wife akitokea...
Nimegundua kuna watu wako interested na watu single hapa jukwaani.
Shida ni kwamba hatuweki details na ID zetu ni feki. Mtu anachati na mdada au mkaka akijua single kumbe married.
Mi...
Ukweli ni kwamba kwa kanda ya ziwa wasukuma wanaongoza kutoa wanawake wife material ni wapole, wana uvumilivu na wanajua kupenda hasa wale waliokulia usukumani kabisa lakini ukikosea ukaoa njia ya...
Salaam kwenu wadau! nina ndoa ya miaka 10
Naona kadri siku zinavyoenda nahisi uhitaji hii huduma muhimu, kwa miaka yote hiyo nimekuwa mwaminifu sijawahi kuchepuka, lakini nowadays hitaji langu...
Habari zenu hii ni mara yangu ya kwanza kuingia katika mtandao huu naomba mnipokee. licha ya ugeni wangu ila nimekuja nina shida nahitaji mawazo yenu.
Mimi ni msichana wa miaka kati ya 25-30...
Hiyo ni kauli kutoka kwa baadhi ya wanawake.
Je kauli hiyo ina ukweli kiasi gani?
Kuna bahati mbaya moja, ambayo baadhi ya wanawake hawaijui. Hii ni ile yakudhani kwamba, mwanaume akishaanzisha...
Haya maneno mawili i.e. PAPUCHI na DUSHELELE yanatumika sana kurefer Uu..me na Uk..e hapa MMU lakini huwa najiuliza haya maneno yalikujaje hapa na yana mahusiano gani na vitu halisi...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.