nilikuwa na dem wngu tumekaa kwnye uhusiano takriba miaka 3 hla alibadilka ghafla nakuniambia hanitak hila cku za karbu ameanza kutuma sms. za kimahaba nahic anatka kurud je nifanyejee?
Habari zenu wana jf, nsiwachoshe na salaam nyingi natumai ni wazima
Ok mimi nina girlfriend ambaye kaishia form 3, mapenzi naye nilianza kama mzaa vile, lakini badae nikajikuta nimezama mazima...
Anyeonghaseyoooooooooooooooooooooooooooooooooooo!!!!!!!
Leo sina mengi, nina hoja ndogo sanaa kwenu wanaume hususani watu wazima wenzangu.
Sisi wote watu wazima, (Hapo moyoni mnasema unatuita...
Binadamu wao full kugegedana tu mda wote. Hawana msimu wa kupumzika kama wanyama wengine.
Je isingekuwa vizuri kama nao wangekuwa na msimu wa kugegedana/msimu wa joto kama ilivyo kwa wanyama...
Jana usiku nilichelewa kurudi home, sasa shemeji yangu wa kike, mdogo wa wife ndo alikuja kunifungulia mlango. Wakati anainama kufunga komeo la chini la gate la mlango nikamshika makalio...
Naombeni ushauri jaman!mimi na mchumba wangu(hatujafunga ndoa) tumefanikiwa kupata mtoto mmoja wa kiume!lakini tangu hapo kumekuwa na malumbano makubwa sana kiasi kwamba hadi sasa hivi mawasiliano...
Imekuwa kawaida sana kwa watu wapendanao kuitana majina ya kimahaba kama honey, sweetie, baby (hata kama ni mzee), mume wangu/mke wangu (na hawajaoana) na majina mengine lukuki lakini pindi tu...
Habari zenu kwa wale wa Afrika mashariki na kati mmeamka salama?
Why i came up with this topic asubuhi yote hii? kuna shostito wangu mmoja ni kama anatamani kufa right this moment.
Na baadhi ya...
kuna mdada wa kinyarwanda alinitext kwenye FB akaomba email yangu nikampa, tukawa tunachati naye sana siku moja akanambia anaitaji aje tuishi naye Tanzania cause kule familia yake yote ilishakufa...
Salaamu,
Kichwa cha habari kinahusika.Sio siri warembo wengi wa Dar es salaam wanazimika sana na machalii wa Arachuga wengi wakitoa sababu zifuatazo:
1.Machalii sio mashalobalo ni wachapakazi...
Nieleweke ni ndugu yangu 'Damu' mtoto wa Baba Mkubwa.
Kamaliza form four mwaka 2010 kafail alipata ziro na 'D' moja tu, 2011 akareseat ndo kavurunda kabisa, 2012 nikamwambia njoo huku nchi jirani...
Habar wanajamii wa MMU.
Alijitahidi kuonekana mwenye furaha lakini ukweli moyo wake ulikua na huzuni, basi stori alizokua ananipigia ilikua ni kumfariji na tusiboreke na safari, lakini bado...
1. Usioane na mwanaume au mwanamke anayejua mahusiano yako ya nyuma - - - ugomvi mwingi katika ndoa unaanzia hapo, mnaweza kuoana lakini kumbuka huo utakuwa ni msalaba wako maisha yote mpaka...
Rafiki yangu wa kike (marafiki tu wa kawaida) ambaye anafanyakazi moja ya halmashauri hapa jijini Dar ameanza tabia moja ambayo siielewi kidogo, yeye anasema ameanza hivyo baada ya kusalitiwa na...
Waungwana nisaidieni, kama mke wangu amefariki na kaniachia watoto wawili bado wadogo, mdogo wa mke wangu akaja kunisaidia kwa muds kuangalia watoto, ikatokea tukapendana na tunahaja ya kufunga...
Wadau jana mwana MMU mwenzetu xiexie amevuta jiko,amepata mwandani wake,amekamilisha nusu ya dini,amepata mke,napenda kumpongeza kupitia jukwaa hili na kumtakia kila la kheri kwenye maisha yake ya...
Hebu chukua nafasi kidogo jiulize haya mapenzi wadau mbalimbali wanayochangia humu katika JF ingekua ni chuki ingekuaje?
Hebu kila mmoja arushe neno moja moja nini ingekua hatima yake.
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.