Mahusiano, mapenzi, urafiki

Tubadilishane mawazo kuhusu familia, mahusiano, mapenzi, urafiki, n.k na kushauriana

On JF:

Utakuta wanawake wengi walio olewa na wale ambao bado hawajaolewa wanasema, wanaume was sikuhizi hawaeleweki kabisa; wanaume halikadharika wanasema wanawake walikuwa was zamani siku hizi hamna...
1 Reactions
13 Replies
2K Views
Eti iweje kila mwanaume ninayekutana naye ana kasoro nyingi ambazo hata hazibebeki. inawezekana ni mtazamo wangu au weshachukuliwa kitambo?
4 Reactions
140 Replies
13K Views
Nina miaka 24, natafuta mke mwenye miaka 30 awe Morogoro. Namba: 0658207157
0 Reactions
2 Replies
1K Views
Ndugu zangu suala la ndoa ni jambo kubwa sana tafauti na tunavolifkiria, kwa iyo tunapotaka kulingia lazima tuwe sirius, huwezi kuwa wewe una mila zako, ukataka kumuowa ambae mila zako kwake ni...
0 Reactions
9 Replies
3K Views
Napenda kujua faida na hasara za kuacha kutumia jina la ukoo wetu na kuanza kutumia jina la ukoo wa mume wangu.
0 Reactions
15 Replies
2K Views
Kuna dada tuko naye ofisini, sasa huku na huku akapata mchumba kutoka West Africa, huyu mchumba anadai amesoma Russia na sijui alikuwa anafanya kazi gani hapa Bongo, maana hata dada mwenyewe...
10 Reactions
180 Replies
16K Views
mm ni msichana mwenye umri wa miaka 24 natafuta mchumba ambaye yupo serious kuoa, mm ni mkristo na nna elimu ya ngaz ya cheti na nimeajiriwa kaktka kampuni moja kubwa dsm sifa za mwanaume...
1 Reactions
36 Replies
4K Views
Na Jumbe Ismailly 15th August 2014 Binti mwenye umri wa miaka 16 na mimba ya miezi mitatu, Esther Jilaa (pichani), ametembea kwa miguu umbali wa kilomita 100 kwa muda wa siku mbili kutoka katika...
0 Reactions
23 Replies
6K Views
Jamani nipo seriously natafuta mchumba. Natafuta mwanamke nitakae make nae maisha, mimi ni muajiriwa serikalini awe kati ya umri 17-22,mimi ni mrefu kidogo na ni maji ya kunde, so sihitaji...
1 Reactions
12 Replies
2K Views
Habari wandugu, Kwanza kabisa nitoe shukurani kwa waanzilishi wa huu mtandao kwani nimefuatilia mada nyingi hususan za kimapenzi, kwa kweli zilinigusa sana.....so nikaona na mimi nijiunge ili...
4 Reactions
69 Replies
12K Views
Kukaa muda wote kumbembeleza mpenzi wako hupelekea mazoea mabaya ya kutaka kubembelezwa kila wakati na ipo siku utamkuta anakusaliti atakutaka umbembeleze asiwe anakusaliti, mpenzi wako asijue...
4 Reactions
43 Replies
30K Views
Mimi ni kijana mwenye kipato changu cha kutosha tu na nimeajiriwa Serikalini, nimejitokeza hapa kutafuta mchumba. Natafuta mwanamke nitakae weza kuwa nae maishani, umri ni 17-22 uwe na...
0 Reactions
10 Replies
2K Views
Any where i gate wife material,, mimi naamini hilo!! kama yupo msichana anaye amini yeye ni wife material, yupo single na ni mpweke anahitaji kuingia katika serious relation naomba PM yako, hata...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Kumekua na mijadala ya mara kwa mara juu ya mihogo vs vibamia. Wenye mihogo tumekua tukijinadi ya kuwa mihogo ndo mpango mzima na wenye vibamia pia tumekua tukijinadi ya kua vibamia ndo mpango...
0 Reactions
20 Replies
3K Views
Kristu! Tumaini letu! (Mpunguze kuwaachia kina Baraba, Na kumsulibisha Mwana wa Adamu) IGWEEEEEEEEEEEEEEEEEEE!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!! YA LEO KALI!!!!!!!!!!!! Yaani hii khabari ni ya dada...
6 Reactions
74 Replies
10K Views
kumbuka kujenga kwa wakwe ni sawa na kujenga kwenye hifadhi ya barabara
4 Reactions
108 Replies
9K Views
Siku hizi nimeanzisha mazoea ya kukaa counter nikienda baa... Sijui hasa ni kwa nini, but nimajikuta napanda tu. Sasa mara kadhaa nimekuwa nikisikia wahudumu wa kike, wakipiga simu kwa mashostito...
4 Reactions
15 Replies
2K Views
Huyu dem nilitaka kumuoa akakataa na kudai ana mtu anayejulikana hadi hom sasa ni 3yrs bado yupo yupo tu,sasa hadi akiniona anabadili uelekeo.Sitomsahau kamwe..! kwani alinikejeli kwa kuniambia...
0 Reactions
12 Replies
1K Views
Leo nimeenda dansi live band. Mmoja wa masteji show hakuwa amevaa chupi name mkoba wake ulikuwa unaonekana dhahiri na hivyo kusababisha midume ipagawe. Mziki ulipoisha nikamsogelea na kumpongeza...
2 Reactions
34 Replies
5K Views
Back
Top Bottom