Habari zenu wana MMU,,
Naamin tupo pamoja!
Leo napenda tujadili kidgo nione mitazamo ya wenzangu
Hili swala lipoje, unakuta watu wameishi kiunyumba miaka kumi wamezaa na watoto labda wa 3 then mwisho wa siku wanaamua kufunga ndoa na kuanza vikao vya harusi, mara kuchangisha michango!
Hii sioni kama ina maana sana kukompleketi hayo maswala kiivyo ikiwa wameshaishi pamoja na kujenga familia labda mseme na ninyi!
Hii imetokea kwa watu wng wa karbu!
Mier